Harmorapa afunguka kuhusu Wema Sepetu na Dk.Shika (+Video)

By Bongo 5, 2w ago

Msanii wa muziki Harmorapa amefunguka kuhusu post aliyoweka katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram kuhusiana na Dk.Shika na mrembo Wema Sepetu. Akipiga stori na Bongo5, hivi karibuni msanii huyo ameeleza kuwa wakati tukio la Dk.Shika linataokea yeye hakuwepo nchini. '€œKipindi kile wakati inatoke sikuwepo hapa nchini nilikuwa china kwa ajili ya biashara yangu, nikawa […]

ZINAZOENDANA

Babu Seya na Papi Kocha Kuwaanda Mashabiki Kwa Ujio Mpya.

Wasanii wa muziki wa dansi baba na mtoto wake wameanza kuwandaa mashabiki wao kukaa mkao wa kula kwa ...

Mr.blue Hana Beef na Diamond Platinumz.

15m ago

Msanii wa  muziki nguli Bongo Mr.Blue amefunguka na kukanusha maneno yanayosambaa katika mitandoa ...

Mwana FA awataka Wasanii kufuata nyayo za Darassa

17m ago

Katika hali ya kawaida kusota katika mafanikio ni jambo la kawaida, na mara nyingi kuna wakati flani ...

Chin Bees, Mganda Bifu Zito!

  MSANII wa Bongo Fleva, Chin Bees amejikuta akiingia kwenye bifu zito na msanii wa Muziki wa Ug...

Babu Seya na mwanae, Papii Kocha waanza safari mpya...!

8h ago

  MUIMBAJI nguli wa muziki wa dance, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya pamoja na mwanae, Papii...

Tamasha la Busara kuenzi sanaa na utamaduni wa Mwafrika

8h ago

Na Mwandishi Wetu.Watanzania wametakiwa kuenzi sanaa na utamaduni waliona kwa ajili ya kizazi kijacho...

Balozi Seif atoa miezi mitatu kufanyiwa matengenezo Ukumbi wa Mikutano wa Salama.

9h ago

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  aliyevaa Miwani akifanya ziara ya kulikagu...

Nabii aruhusu Pombe kanisani, Atangaza kumuoa Wema Sepetu

10h ago

Mkazi  mmoja wa Dodoma anayejitangaza kama nabii, Tito Machija amesema watu wasimuone kuwa hana ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek