Hatua zitakazochukuliwa kwa wateja wanaodaiwa na TANESCO

By Swahili Times, 2w ago

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) tunautaarifu Umma na Wateja wetu wote kuwa, tumetoa muda wa siku nne (4) kuanzia Januari 12, 2018 hadi siku ya Jumatatu Januari 15, 2018 kwa wadaiwa sugu wawe wamelipa madeni yao. Baada ya muda huo kuisha Shirika litasitisha Huduma ya umeme dhidi ya Wateja watakaoshindwa kulipa madeni ikiwa ni pamoja na kuchukua hatua zingine za kisheria. Ofisi za TANESCO zitakuwa wazi siku ya Jumamosi Saa 3:00 Asubuhi hadi Saa 9:00 Mchana. mawasiliano Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100 Tovuti: www.tanesco.co.tz, mitandao ya ...

ZINAZOENDANA

Henry amkana Sanchez, ni kuhusu dili la kujiunga na Man United

6m ago

Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Thierry Henry amekanusha ujumbe uliandikwa katika mitandao ya kijamii ...

PICHA YA 'SHULE YA UDONGO' YAMKERA MKURUGENZI, AAGIZA IBOMOLEWE

14m ago

Na Florence Sanawa Mtwara Picha iliyosambaa katika mitandao ya kijamii ikionyesha madarasa ya udongo ...

RIP: Soka la Tanzania limempoteza mtu muhimu ghafla

52m ago

Alfajiri ya January 24 2018 katika mitandao ya kijamii zilianza kuenea taarifa za kusikitisha kuhusu ...

Penzi la Aunty Ezekiel na Mose Iyobo Ladaiwa Kuwa Matatani

Muigizaji mkongwe wa Bongo movie Aunty Ezekiel amesemekana kuwa matatizoni na mpenzi wake Moses Iyobo...

POLISI: NABII TITO ANA MATATIZO YA AKILI

2h ago

RAMADHAN HASSAN na TAUSI SALUM-DODOMA JESHI la Polisi mkoani Dodoma limesema Tito Machibya, maaruf...

Pretty Kindy Alalamika Maisha Magumu

Baada ya kupita kama wiki mbili tangu kufungiwa kwa kazi zake za kisanii kwa upande wa muziki na fila...

Kikwete akanusha kuitukana CCM

14h ago

Mbunge wa Chalinze mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete amefunguka na kusema kuwa maneno ambayo yanasambaz...

'€œAsante Mungu haikutokea ajali, madereva wote wawili wanashughulikiwa'€ - Waziri Mwigulu

18h ago

Leo January 23, 2018 kwenye mitandao ya kijamii imesambaa video inayoonesha mabasi mawili moja lik...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek