Harmorapa Aongea Hivi Kuhusu Wema Sepetu, Dkt Shika

By Udaku Specially, 15w ago

Msanii wa muziki Harmorapa amefunguka kuhusu post aliyoweka katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram kuhusiana na Dk.Shika na mrembo Wema Sepetu.Akipiga stori na Bongo5, hivi karibuni msanii huyo ameeleza kuwa wakati tukio la Dk.Shika linataokea yeye hakuwepo nchini.'€œKipindi kile wakati inatoke sikuwepo hapa nchini nilikuwa china kwa ajili ya biashara yangu, nikawa nasikia nikawa naona kinachoendelea hapa Tanzania home hapa nyumbani. Lakini kuhusu mimi kuwa baba yangu na kumpost watu wengi wanacheza na akaunti yangu wali hack one time harafu waka-post wakaandika kama walivyo andika la...

ZINAZOENDANA

Kumbe ishu sio Tuzo: Monalisa afunguka 'bifu' la Wema na Riyama

3h ago

Baada ya kumalizika drama za hapa na pale kati ya Wema Sepetu na Rihama Ally, msanii wa Filamu Bongo,...

Wema Sepetu 'kuamsha dude' Aprili 26 mkoani Arusha

3h ago

Muigizaji wa filamu na Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu atakutana na mashabiki wake pamoja na wa...

Wema Sepetu apata mzuka

4h ago

Wema Sepetu anaamini Tuzo ya Sinema Zetu aliyoshinda wiki chache zilizopita imemfungulia njia ya kupa...

New Video: Omarion - Nudes

6h ago

Msanii wa muziki kutoka nchini Marekani, Omaria ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina...

BEYONCE AANGUKA JUKWAANI

7h ago

CALIFONIA, MAREKANI MWANAMUZIKI wa Marekani, Beyonce Knowles, mwishoni mwa wiki iliyopita alishindwa ...

Mtogo wa Yanga ni shida aisee!

9h ago

YANGA wameukubali muziki wa straika wa Welaytta Dicha ya Ethiopia, Mtogo Arafat Djako na mabosi wake ...

Wema Sepetu naye yamkuta mahakamani

9h ago

MALKIA wa Bongo Movie, Wema Sepetu ameingia hatiani kwa kuonekana ana kesi ya kujibu katika mashitaka...

Makala: Kiki, kipaji duni, kuikosoa WCB, shobo kwa Alikiba ndio kaburi la Harmorapa kimuziki (+Audio)

9h ago

March 23, 2017 jina la msanii Harmorapa liliteka ghafla mitandao ya kijamii na vyombo vya habari. Ni ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek