Dk. Shein Atunuku Nishani Zilizotukuka 43 kwa Viongozi na Watumishi wa Umma

By Udaku Specially, 15w ago

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein ametunuku nishani zilizotukuka 43 kwa viongozi na watumishi wa umma ikiwa ni maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.Dkt. Shein ametoa nishani hizo kwa mutu ambae aliasisi,alishiriki na kutukuza pamoja na kuyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar yaliyotokea mwaka 1964.Pamoja na hayo Dk. Shein amewataka wananchi wa Zanzibar kuendelea kudumisha amani na utulivu uliopo ili kuwa chachu ya kuendelea kuwa kivutio kikubwa kwa uwekezaji miradi mikubwa ya maendeleo visiwani .Katika maadhimisho hayo mbali ya nishani h...

ZINAZOENDANA

Nuclear isotopes help to sustain agriculture and good farming

1h ago

The main goal of innovation and the development of new technologies is to make our lives better and s...

Mpinzani atetea uraia wa Lungu

1h ago

Kiongozi wa chama cha upinzani Vincent Chaile amesema mjadala kuhusu madai kwamba Rais Edgar Lungu si...

NIMERIDHISHWA NA MAADHALIZI YA SHEREHE ZA MUUNGANO-MAJALIWA

2h ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maandalizi ya sherehe za miaka 54 ya Muungano wa ...

Barack Obama na Michelle watuma salamu za pongezi kwa Prince William na Kate

2h ago

Aliyekua rais wa Marekani, Barack Obama na mkewe Michelle Obama wametuma salamu za pongezi kwa Prince...

Waziri wa Afya azindua ugawaji wa vyandarua vyenye dawa ya muda mrefu Kigoma

2h ago

*Vyandarua ure kwa Wajawazito na Watoto,atakaeuza kukionaWAZIRI Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia W...

LIVE: Rais Magufuli Akihutubia Bunge la Afrika Mashariki - VIDEO

 The post LIVE: Rais Magufuli Akihutubia Bunge la Afrika Mashariki – VIDEO appeared first...

LIVE: Rais Magufuli Akihutubia Bunge la Afrika Mashariki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 24 Aprili, 2018 analihut...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek