UVCCM KIBAHA MJINI YAWATAKA VIJANA KUSIMAMIA KWA VITENDO MAPINDUZI

By Issa Michuzi, 15w ago

Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha.JUMUIYA ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mjini Kibaha mkoani Pwani imesema Taifa linawategemea vijana katika dhana nzima itakayothibitisha wanasimamia kwa vitendo Mapinduzi katika kuondoa maovu yanayolikabili Taifa hili.Aidha imekemea tabia ya kujigawa na kuweka makundi baina yao kwani kwa kufanya hivyo ni kudidimiza harakati na juhudi za kuimarisha jumuiya na kupambana kimaendeleo .Mwenyekiti wa UVCCM Mji wa Kibaha, Azilongwa Bohari aliyasema hayo, mara baada ya jumuiya hiyo kufanya usafi katika hospitali ya rufaa ya mkoa ya Tumbi pamoja na kuchangia damu un...

ZINAZOENDANA

Nuclear isotopes help to sustain agriculture and good farming

1h ago

The main goal of innovation and the development of new technologies is to make our lives better and s...

Heche Atoa Kauli Nzito Baada ya Kutishiwa Maisha

Mbunge wa Tarime vijijini John Heche amesema kuna njama zinaendelea za kutishia maisha yake baada ya ...

NIMERIDHISHWA NA MAADHALIZI YA SHEREHE ZA MUUNGANO-MAJALIWA

2h ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maandalizi ya sherehe za miaka 54 ya Muungano wa ...

MASAUNI AWATAKA WENYEVITI KAMATI ZA MIKOA ZA USALAMA BARABARANI KUFANYA KAZI KWA KASI, USHIRIKIANO KUDHIBITI AJALI NCHINI

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usal...

Bara, Zanzibar Tusitumie Changamoto Zilizopo Kuharibu Muungano

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kufanya juhudi  mb...

SHANIA AWAOMBA MSAMAHA WAMAREKANI

4h ago

CALIFONIA, MAREKANI MWANAMUZIKI wa Marekani, Shania Twain, amelazimika kuwaomba msamaha raia wa nchi ...

Rais Zimbabwe ajiandaa kukubali mpinzani akishinda

4h ago

'€œIkiwa kiongozi wa upinzani ataibuka mshindi katika uchaguzi huo Rais Mnangagwa amejiandaa kuku...

STRAIKA WA MWANASPOTI: Vifo vya mashabiki hawa viwe funzo kote

4h ago

NCHINI Kenya kwa sasa, anga lake la soka lina majonzi yanayotokana na vifo vya mashabiki vilivyotokea...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek