Kampuni ya Premium Agro Chem Ltd Yasambaza Mbolea Masaa 24 Kutekeleza Agizo la Rais Magufuli.

By Zanzi News, 14w ago

 Meneja Biashara na Masoko wa  Kampuni ya Premium Agro Chem Ltd, Brijesh Barot (kulia), akiangalia upakiaji mbolea uliofanyika katika maghala ya kampuni hiyo, Vingunguti jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Mbolea ikipakiwa katika malori tayari kwa safari ya kupelekwa mikoani.Na Dotto MwaibaleKAMPUNI ya Premium Agro Chem Ltd imeendelea kutekeleza agizo la Rais Dk.John Magufuli kwa kusambaza mbolea kwenda mikoani kwa masaa yote bila ya kujali mapumziko ya Sikukuu ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar inayofanyika leo nchini kote.Akizungumza na waandishiwa habari wakati akisimamia upakiaji ...

ZINAZOENDANA

MASHINDANO YA OLIMPIKI 2020 NCHINI JAPAN KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA - DK. KIGWANGALLA

2m ago

Na Hamza Temba-Ngorongoro, ArushaMashindano ya Olimpiki yatakayofanyika nchini Japan mwaka 2020 yatat...

Rais wa Syria aikataa tuzo aliyopewa na Ufaransa, aeleza sababu

2h ago

Syria imerejesha kwa Ufaransa tuzo ya L©gion d’honneur aliyopewa Rais Bashar al-Assad, ikise...

Rais Magufuli atuma salamu za pole kwa Familia ya Masogange

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia y...

Rais Magufuli aguswa na kifo cha Masogange

4h ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia y...

Salamu za Rais Dkt Magufuli kwa familia ya Agnes Masogange

4h ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kupitia kwa Mwenyekiti wa Umoja wa V...

Kashfa ya upotevu wa fedha Zimbabwe,Kamati ya Bunge yapanga kumuita aliyekuwa Rais Robert Mugabe kujibu

4h ago

Bunge nchini Zimbabwe limesema kuwa Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ametakiwa kufika mbele...

Shein afurahia Egyptair kuanzisha safari

4h ago

RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, ameipongeza azma ya Shirika la Ndege la Misri (Egyptair) ya k...

BAADA YA UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGE VYA KISASA KUKAMILIKA (NFRA) ITAKUWA NA UWEZO WA KUHIFADHI TANI 501,000

5h ago

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula (NFRA) Bi Vumilia L. Zikankuba akitoa ta...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek