SERA YA VIWANDA HAITAFANIKIWA IWAPO HATUTAENDANA NA MABADILIKO MAKUBWA YA SOKO LA WAKULIMA

By Issa Michuzi, 10w ago

Na Jumbe Ismailly,  SINGIDA     MKURUGENZI wa wanawake wa Chama Cha Wananchi (CUF) Taifa, Salama Masudi amesema kuwa sera ya viwanda nchini haiwezi kufanikiwa iwapo hatutaendana na mabadiliko makubwa ya soko la wakulima na ikiwezekana katika mpango mzima wa mapinduzi ya kilimo wenye lengo la kuwawezesha wakulima wa chini kuelekea soko kuu la dunia kuweza kuinua kipato kutoka kwa wananchi maskini kabisa.Mkurugenzi huyo aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wakati wa kumnadi mgombea ubunge wa chama hicho kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la ...

ZINAZOENDANA

Ushindi wa Urais Vladmir Putin wa Urusi,Rais wa Marekani Donald Trump ampongeza

37m ago

Rais wa Marekani Donald Trump amempongeza Rais wa Urusi Vladmir Putin kwa ushindi alioupata wa kuongo...

Hali ya kisiasa Myanmar,Rais Htin Kyaw ajiuzulu

37m ago

Rais wa Myanmar Htin Kyaw amejiuzulu na inaelezwa kuwa hakuna sababu iliyotolewa. Kumekuwa na hali ya...

Mfahamu Nabii Shilla anaegawa fedha kanisani (+video)

5h ago

Mfahamu Kiongozi wa Kanisa la Bethel Ministry nchini, Nabii Daniel Shilla, anaedai kufutiwa usajili w...

Muda umefika, Futeni Facebook' Mmiliki Mwenza Whatsapp

Mwanzilishi na Mkurugenzi wa mtandao wa Facebook Mark Zuckerberg jana March 20, 2018 alipokea barua r...

Nicolas Sarkozy ahojiwa na maafisa nchini Ufaransa

8h ago

Aliyekuwa Rais wa Ufaransa Nicolas Sarkozy alizuiliwa Jumanne na maafisa wa polisi nchini humo ili ku...

RAIS UFARANSA ASHIKILIWA KWA KUFADHILIWA KAMPENI

9h ago

PARIS, UFARANSA ALIYEKUWA Rais wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, anashikiliwa na polisi, akihojiwa kuhusu...

Rais wa Myanmar, Htin Kyaw ajiuzulu

9h ago

Rais wa nchi ya Myanmar ambayo inapatikana katika bara la Asa, Htin Kyaw amejiuzulu. Rais Htin Kyaw K...

CHADEMA YATAFUTA USHIRIKIANO KIMATAIFA

9h ago

Na JANETH MUSHI-ARUSHA CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini kwa kushirikia...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek