TANESCO YATOA SIKU NNE KWA WADAIWA SUGU

By Mtanzania, 10w ago

Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM SHIRIKA la Umeme (TANESCO), limetoa siku nne wadaiwa sugu wa shirika hilo kulipa madeni yao. Taarifa ilitolewa jana na Ofisi ya Uhusiano Tanesco, ilieleza kuwa iwapo wadaiwa watashindwa kulipa madeni yao watakatiwa huduma ya umeme. '€œTunautaarifu umma na wateja wetu wote kuwa tumetoa muda wa siku nne kuanzia Januari […]

ZINAZOENDANA

Wafanyabiashara Wazishukia TRA, TPA na Tanesco Mbele ya JPM

Wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda nchini wameitupia lawama Mamlaka ya Mapato (TRA), Mamlaka ya B...

Wafanyabiashara wazishukia TRA, TPA na Tanesco mbele ya JPM

2d ago

TRA imelalamikiwa katika mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya ukadiriaji

Dk Kalemani awashukia watendaji Tanesco Arusha

3d ago

Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani amewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) mko...

SERIKALI YA SWEDEN YATOA BILIONI 66 KUKABARATI KITUO CHA KUZALISHIA UMEME CHA HALE HYDRO SYSTEMS WILAYANI KOROGWE

1w ago

 Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Tanzania Katari...

WANANCHI WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO MRADI WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU GEITA

1w ago

Mkuu wa mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Luhumbi Akizungumza na wajumbe wa Bodi ya wakurugenzi wa REA b...

WANANCHI WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO MRADI WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU GEITA

1w ago

Na Joel Maduka,GeitaMkoa wa Geita unatarajia kunufaika na mradi kabambe wa usambazaji umeme vijijini ...

MTI WA MBUYU ULIOSHI KWA ZAIDI YA MIAKA 100 WAANGUKA MAENEO YA OCEAN ROAD JIJINI DAR

1w ago

 Mti wa Mbuyu wenye miaka zaidi ya 100 ukiwa umeanguka na kufunga barababra ya Chimala na kusaba...

Sisafiri Kwenda Nje kwa Sababu Sio Jimbo Langu- Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa anapokea mialiko mingi...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek