Utata benki kufungwa, Wakulima wa korosho Tandahimba waingiwa hofu

By Channel 10, 14w ago

Kitendo cha benki kuu ya Tanzania kuzifungia na kuzifutia leseni benki tano za biashara nchini sambamba na kusitisha shughuli zote za benki hizo kimezua hofu kwa wakulima wa zao la korosho na viongozi wa wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara kwa kuwa benki moja wapo iliyofungiwa benki ya Covenant ilikuwa na wateja wengi wakulima ambao fedha[...] The post Utata benki kufungwa, Wakulima wa korosho Tandahimba waingiwa hofu appeared first on Channel Ten.

ZINAZOENDANA

Waziri Tizeba Aagiza Mkurugenzi Wa Bodi Ya Korosho Kusimamishwa Kazi

10h ago

Na Mathias Canal, Wizara ya KilimoWaziri wa wizara ya kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba amemuagiza Katib...

Waziri Tizeba Aagiza Mkurugenzi Wa Bodi Ya Korosho Kusimamishwa Kazi

Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandis...

Waziri Tizeba Aagiza Mkurugenzi Wa Bodi Ya Korosho Kusimamishwa Kazi

11h ago

Na Mathias Canal, Wizara ya KilimoWaziri wa wizara ya kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba amemuagiza Katib...

WAZIRI TIZEBA AAGIZA MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO KUSIMAMISHWA KAZI

Waziri wa wizara yakilimo Mhe. Dkt Ch arles Tizeba akizungumza na waandishi wa h abari ofisini kwakem...

WAZIRI TIZEBA AAGIZA MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO KUSIMAMISHWA KAZI

17h ago

Waziri wa wizara ya kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake m...

IGP akabidhiwa ripoti ya uchunguzi wa kuwekwa mawe na mchanga katika korosho

4d ago

 Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama akishuhudia Wa...

RUVUMA TV: WAKULIMA WALIOTAPELIWA MILIONI 56 WAMEANZA KULIPWA PESA ZAO

5d ago

Zaidi ya wakulima mia moja wa korosho katika Kijiji cha Namiungo Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma wali...

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJNI DODOMA

5d ago

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.  Job  Ndugai akisisitiza jambo...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek