Tanesco Yawawashia Taa Nyekundu Wadaiwa Sugu Watoa Siku 4 Kulipa Deni

By Udaku Specially, 10w ago

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), limetoa siku 4 kwa wateja wao wote wale wadaiwa sugu kuanzia tarehe 12 Januari mwaka huu hadi Januari 15, mwaka huu wawe wamelipa madeni yao.SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) TAARIFA KWA UMMA - WADAIWA SUGUShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) tunautaarifu Umma na Wateja wetu wote kuwa, tumetoa muda wa siku nne (4) kuanzia Januari 12, 2018 hadi siku ya Jumatatu Januari 15, 2018 kwa wadaiwa sugu wawe wamelipa madeni yao.Baada ya muda huo kuisha Shirika litasitisha Huduma ya umeme dhidi ya Wateja watakaoshindwa kulipa madeni ikiwa ni pamoja na kuchukua...

ZINAZOENDANA

TANESCO Yakanusha......"Hakuna Tatizo Lolote Katika Mfumo wa LUKU"

1d ago

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco)limekanusha taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii  i...

TANESCO YAWATOA HOFU WATEJA WAO, YASEMA HAKUNA TATIZO KATIKA LUKU

1d ago

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiSHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco)limekanusha taarifa inayosambaa k...

TANESCO YAWATOA HOFU WATEJA WAO, YASEMA HAKUNA TATIZO KATIKA LUKU

1d ago

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiSHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco)limekanusha taarifa inayosambaa kw...

Tanesco yakanusha kuwa na tatizo katika mfumo wa luku

1d ago

Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limekanusha taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa kut...

Umeme Mbagala, Kigamboni waweka rehani umeneja Tanesco

1d ago

Ni kutokana na kero ya kukatika umeme mara kwa mara Mbagala na Kigamboni

Wafanyabiashara Wazishukia TRA, TPA na Tanesco Mbele ya JPM

Wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda nchini wameitupia lawama Mamlaka ya Mapato (TRA), Mamlaka ya B...

Wafanyabiashara wazishukia TRA, TPA na Tanesco mbele ya JPM

4d ago

TRA imelalamikiwa katika mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya ukadiriaji

Dk Kalemani awashukia watendaji Tanesco Arusha

5d ago

Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani amewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) mko...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek