Wasichana Wanaopata Hedhi Wapigwa Marufuku Kuvuka Mto

By Udaku Specially, 10w ago

Wasichana katika eneo moja nchini Ghana wamepigwa marufuku kuvuka mto mmoja wanapopata hedhi, na pia kuuvuka mto huo Jumanne.Marufuku hiyo, ambayo inadaiwa kutolewa na miungu wa mto wa eneo hilo imeshutumiwa sana na wanaharakati watetezi wa haki za watoto.Hii ni kwa sababu wasichana wengi hulazimika kuvuka mto huo kufika shuleni.Hii ina maana kwamba wasichana wa wilaya ya Denkyira ya Juu Mashariki, katika mkoa wa kati, wanakabiliwa na hatari ya kutopata elimu.Mataifa mengi Afrika kusini mwa jangwa la Sahara yamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya kuhakikisha wanafunzi wa kike wanasalia shuleni ...

ZINAZOENDANA

Necta Yafanya Mabadiliko Mtihani Darasa la Saba

Wanafunzi wa darasa la saba ambao watafanya mtihani mwaka huu watakutana na mabadiliko ya mfumo wa ut...

Kesi ya Nondo kuunguruma April 4

4h ago

Wakati Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania(TSNP), Abdul Nondo akifikishwa katika Mahakama ya ...

Mhadhiri alinganisha ziwa la mama na tikitimaji India

4h ago

Wanafunzi katika chuo cha taasisi cha Farook kusini mwa kusini mwa India katika jimbo la Kerala wamek...

Kesi ya Nondo dhidi ya Serikali kusikilizwa Aprili 4

4h ago

Wakati Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania(TSNP), Abdul Nondo akifikishwa katika Mahakama ya ...

Kiongozi wa mtandao wa wanafunzi Tanzania Abdul Nondo apandishwa kizimbani

4h ago

Kiongozi wa mtandao wa wanafunzi Tanzania Abdul Nondo, amepandishwa mahakamani leo katika mahakama ya...

Gavana wa mji wa imo nchini Nigeria awazawadia wanafunzi jijini Dar

5h ago

Gavana wa mji wa imo nchini Nigeria, Rochas Okorocha, akimpongeza mwanafunzi wa darasa la Sita, Anati...

Mahakama Kuu Iimetoa Amri kwa Serikali Kupeleka Majibu Juu ya Abdul Nondo

Mahakama Kuu leo imetoa amri kwa serikali kuweza kupeleka majibu ya maombi yaliyofunguliwa na Mawakil...

Abdul Nondo Apandishwa Mahakamani kwa Makosa Haya.... Arudishwa Rumande Baada ya Kunyimwa Dhamana

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo amesomewa mashtaka mawili katika Maha...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek