'€œHakuna sababu ya kufanya kampeni 2020'€- Mwenyekiti UVCCM

By Millard Ayo, 9w ago

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Kheri James amesema kuwa CCM haina sababu ya kufanya kampeni katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 badala yake kuna kila sababu ya kupita bila kupingwa kutokana na uimara wa CCM na serikali yake.  Kheri ameyasema hayo wakati akizungumza na timu mbalimbali za kampeni za uchaguzi […]

ZINAZOENDANA

Nabii aliyetabiria Ushindi Upinzani afutiwa Usajili...Ahofia Kuokotwa wenye Kiroba

5h ago

KIONGOZI wa Kanisa la Bethel Ministry nchini, Nabii Daniel Shilla, amefutiwa usajili wa huduma hiyo k...

Facebook Yasimamisha Akaunti ya Kampuni Iliyompigia Debe Uhuru

Mtandao maarufu wa Facebook umetangaza kusimamishwa kwa akaunti ya Strategic Communication Laboratori...

Majaji wapya kushughulikia kesi dhidi ya Uhuru, Ruto

8h ago

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imechagua majaji wapya kusimamia kesi za Rais Uhuru Kenyatta n...

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Nchini Marekani Amfuta Kazi Kigogo wa FBI Siku Chache Kabla ya Kustaafu

Kutoka nchini Marekani Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jeff Sessions amemfuta kazi aliyewahi kuwa Kaimu ...

Facebook yasimamisha akaunti ya kampuni iliyompigia debe Uhuru

10h ago

Ripoti iliyotolewa mwaka jana na kampuni ya kimataifa ya masuala ya faragha yenye makao yake London, ...

BILIONI TANO KUKAMILISHA MIRADI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

12h ago

BILIONI tano kukamilisha miradi ya Manispaa ya Kigamboni ambayo ni Ujenzi wa Zahanati, kituo hc afya ...

Polepole: Kiongozi huyu wa upinzani amfuata Magufuli

1d ago

Aliyekuwa Diwani kupitia Chama cha NCCR MAGEUZI kata ya Makere wilayani Kasulu mkoani Kigoma, Laurent...

Rais Dk Shein afunga Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar

1d ago

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)alipokuwa ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek