Polisi Kuchukua Hatua Hizi Endapo Utakutwa Umevaa Nguo Fupi

By Udaku Specially, 14w ago

Jeshi la Polisi limetangaza kufanya msako kwa watu wanaovaa nguo zisizo na heshima, kulingana na maadili ya Tanzania na kuwafikisha mahakamani.Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo wakati akitoa taarifa ya usalama kwa mwaka 2017, alisema hivi sasa kuna wimbi la mavazi yasiyo sahihi wanayovaa baadhi ya watu.Alitaja baadhi ya nguo hizo kuwa ni fupi, zinazoonyesha nguo za ndani na suruali za kubana maungo.'€œHizi nguo hazipendezi na siyo maadili yetu, mnaiga wenzenu wananyovaa kwa sababu ya hali ya hewa ya kwao, sasa tunatangaza msa...

ZINAZOENDANA

Mbeya City Yakataa Kufungwa Kwao Yagawana Point na Yanga

12h ago

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara Yanga, wamebanwa mbavu ugenini na Mbeya...

Mauaji ya Akwilina: DPP afunga jalada la kesi, watuhumiwa waachiwa Huru

1d ago

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga amesema, jalada la kesi ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo ...

Naibu Waziri: Jeshi la Polisi Halina Muda wa Kulinda Maandamano

1d ago

BUNGE limeelezwa kuwa Jeshi la Polisi halina muda wa kulinda taasisi au chombo chochote kitakachotaka...

Zanzibar salama, kuna amani, utulivu

1d ago

KAMISHNA wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Mohamed Haji Hassan amesema wakati Jamhuri ya Muungano wa Tanza...

Polisi Atiwa Mbaroni Kwa Rushwa ya 250,000

Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Kuhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) inamshikilia ofisa wa jeshi la polisi kw...

Hakuna polisi kulinda waandamanaji

2d ago

BUNGE limeelezwa kuwa Jeshi la Polisi halina muda wa kulinda taasisi au chombo chochote kitakachotaka...

Polisi Atiwa Mbaroni Kwa Rushwa ya 250,000

2d ago

Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Kuhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) inamshikilia ofisa wa jeshi la polisi kw...

Waliokataa Wito wa Makonda Kufikishwa kwa Kamanda Mambosasa

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amewaonya wanaume waliokataa wito wa kuitwa kwao kuhusiana na malezi ya...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek