Naibu Waziri katoa onyo hili kuhusu wanafunzi watakaopewa mimba

By Millard Ayo, 9w ago

Leo January 12, 2018 Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha amesema mzazi atakayekuwa chanzo cha mwanafunzi kupata ujauzito au kuficha taarifa atachukuliwa hatua kali za kisheria na serikali. Ole Nasha amezungumza hayo wakati akizindua shule ya msingi Laresho ambayo imejengwa kwa lengo la kusaidia watoto wa kifugaji kupata elimu. “Serikali imetenga Sh. Bilioni 427 […]

ZINAZOENDANA

Mwigulu: '€œUkiona analalamika kama Lema ujue kuna kasoro"

4h ago

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba amevunja ukimya kuhusu kauli ya Mwenyekiti wa ...

Nilitamani sana nimuone rafiki yangu Nondo - Waziri Mwigulu Nchemba

6h ago

Waziri wa Mambo ya ndani, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wanafunzi kuachana na harakati za kutengeneza ...

Mwigulu Awapa Makavu Wanafunzi Wanaojiingiza Kwenye Siasa " Usifanye Harakati Ili Uwe Adui wa Serikali

Waziri wa Mambo ya ndani, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wanafunzi kuachana na harakati za kutengeneza&...

Mwigulu Nchemba Awachana Wanafunzi Na Harakati Zao Za Siasa

7h ago

Waziri wa Mambo ya ndani, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wanafunzi kuachana na harakati za kutengeneza&...

DK.MWIGULU AWATAKA WANAFUNZI KUACHA KUTENGENEZA TAASWIRA MBAYA KWA SERIKALI

7h ago

Na Ripota Wetu,Globu ya jamii.WAZIRI wa Mambo ya ndani, Dk.Mwigulu Nchemba amewataka wanafunzi kuacha...

Wafunguliwa Mashitaka Kwa Kumnyima Dhamana Abdul Nondo

7h ago

 MTANDAO wa watetezi wa Haki za Binadamu nchini (THRDC) kwa kushirikiana, Mtandao Wa Wanafunzi (...

DK.MWIGULU NCHEMBA AWACHANA WANAFUNZI NA HARAKATI ZAO ZA SIASA

Waziri wa Mambo ya ndani, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wanafunzi kuachana na harakati za kutengeneza...

Video: Wakili wa Abdul Nondo Afunguka Mazito

Kufuatia sakata la Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Abdul Nonda ambae pia kiongozi wa Mtand...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek