Kamati Kuu ya CHADEMA Waitana kwa Dharura

By Edwin Moshi, 15w ago

Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kesho inakutana katika kikao cha 'dharura' jijini Dar es Salaam.Naibu Katibu Mkuu wa Chadema-Zanzibar, Salum Mwalimu amesema lengo la kikao hicho ni kufanya tathmini ya hali ya kisiasa nchini.Alipotakiwa kueleza kama lengo la kikao hicho ni kujadili ziara ya waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwenda Ikulu, Mwalimu amesema kikao hicho si cha dharura kwani kilipangwa kufanyika Desemba mwaka jana lakini kiliahirishwa kutokana na sikukuu za mwisho wa mwaka.Amesema ajenda za kikao hicho zilipangwa kabla Lowassa ambaye ni Mjum...

ZINAZOENDANA

Mambosasa afunguka sakata la Katibu wa BAWACHA Aliyekamatwa na mtoto mchanga

9h ago

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Jijini Dar es salaam, Lazaro Mambosasa, ametolea ufafanuzi suala ambal...

Mambosasa Afunguka Sakata la Katibu wa BAWACHA Kupelekwa Rumande Akiwa na Mtoto Mchanga

10h ago

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Jijini Dar es salaam, Lazaro Mambosasa, ametolea ufafanuzi suala ambal...

Katibu wa Baraza la Wanawake Chadema Akamatwa na Polisi Kisa Maandamano ya Mange Kimambi

11h ago

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni limedhibitisha kumkamata Katibu wa Baraza la Wanawake la Chadema, E...

Maandamano: Watu 9 wakamatwa Dar, diwani wa CHADEMA akamatwa Iringa

11h ago

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu tisa waliokuwa wakiandamana eneo la...

Siku yakimfika DPP hatafuta kesi kirahisi

12h ago

Jalada la kesi ya mauji ya mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini, li...

Polisi wamkamata kiongozi Chadema

13h ago

Ni Katibu wa  Baraza la Wanawake la Chadema

Katibu Mkuu Chadema azungumzia Muungano

15h ago

Ni Katibu Mkuu Chadema alipozungumza mkoani Mtwara jana.

Hapa Ndipo Atakapozikwa Obama?

16h ago

Marais saba wa Marekani na wake zao wamezikwa katika maeneo ya maktaba na makumbusho zilizobeba kazi ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek