Kamati Kuu ya CHADEMA Waitana kwa Dharura

By Edwin Moshi, 10w ago

Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kesho inakutana katika kikao cha 'dharura' jijini Dar es Salaam.Naibu Katibu Mkuu wa Chadema-Zanzibar, Salum Mwalimu amesema lengo la kikao hicho ni kufanya tathmini ya hali ya kisiasa nchini.Alipotakiwa kueleza kama lengo la kikao hicho ni kujadili ziara ya waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwenda Ikulu, Mwalimu amesema kikao hicho si cha dharura kwani kilipangwa kufanyika Desemba mwaka jana lakini kiliahirishwa kutokana na sikukuu za mwisho wa mwaka.Amesema ajenda za kikao hicho zilipangwa kabla Lowassa ambaye ni Mjum...

ZINAZOENDANA

M/Kiti Bavicha aeleza mipango ya baraza hilo (+video)

7h ago

EXCLUSIVE: Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA), Patric Sosopi ameeleza mipango ya Baraza hilo, pamoja ...

Prof. Lipumba awafunda wapinzani 'tusisubiri mabaki kutoka CCM' (+video)

8h ago

EXCLUSIVE:Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Ibrahim Lipumba amezungumzia siasa ya Tanzania kwa ujumla hu...

AISIIIII..........U KILL ME ( Sehemu ya 57 na 58 )

10h ago

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWAILIPOISHIA  Nikaona gari tatu za ikulu ambazo anatembelea raisi zik...

VIONGOZI CHADEMA HEKAHEKA POLISI

11h ago

Patricia Kimelemeta na Leonard Mang'oha - Dar es Salaam KUITWA polisi mara kwa mara kwa...

Faida 6 riba ya mikopo ya benki ikishushwa

11h ago

MAPENDEKEZO yaliyotangazwa na Jumuiya ya Mabenki Tanzania ya kushusha riba za mikopo kutoka asilimia ...

Rais Magufuli ataka ushirikiano zaidi na Israel

14h ago

'€œTanzania na Israel ni marafiki wa miaka mingi, nataka kuona urafiki wetu unakua zaidi, nawakar...

KIKAO CHA RAIS MAGUFULI,WAFANYABISHARA KIWE CHACHU YA MAENDELEO KATIKA NCHINI

14h ago

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiKWA Ujinga wangu naomba niseme mapema tu, mimi si mfanyabiashara ila&n...

*Rais Magufuli ataka ushirikiano zaidi na Israel*

14h ago

'€œTanzania na Israel ni marafiki wa miaka mingi, nataka kuona urafiki wetu unakua zaidi, nawakar...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek