Waliomzushia Kifo Mrema kumtajirisha, Atinga Polisi Kufungua kesi

By Edwin Moshi, 1w ago

Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Tanzania, Augustino Mrema amelitaka Jeshi la Polisi na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kumchukulia hatua aliyezusha taarifa za kifo chake Januari 9 mwaka huu.Mrema ambaye ni Mwenyekiti wa TLP Taifa ameyasema hayo mapema leo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari nje ya Kituo cha Polisi jijini Dar es Salaam alipokwenda kuripoti tukio hilo.Amesema, aliyezusha taarifa hiyo alifahamu kwamba Lowassa amekwenda Ikulu kuonana na Rais Dkt Magufuli, hivyo akazusha uongo ili watu wasiwe makini kuhusu kilichojadiliwa Ikulu.Mrema amesema wapinzani wa Rais ndio wali...

ZINAZOENDANA

Juma Nyosso Akamatwa na Polisi

Jeshi la Polisi Mkoani Kagera limethibitisha kumshikilia mlinzi wa Kagera Sugar Juma Said Nyosso kwa ...

WAZIRI JAFO - ZINGATIENI UBORA NA KUEPUKA WAKANDARASI WABABAISHAJI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akikagua Barabara...

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Barala la Mawazi...

Tusimhukumu Nyoso kwa historia yake

7h ago

Beki wa Kagera Sugar Juma Nyoso anashikiliwa na jeshi la polisi mijini bukoba kwa tuhuma za kumshambu...

Rais Dkt Magufuli apokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi Sita kutoka nchi mbalimbali Ikulu

8h ago

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek