Nape: Nasema wenzetu watasubiri sana kwani haiwezekani kuiangusha CCM madarakani"

By Edwin Moshi, 5d ago

Mbunge wa jimbo la Mtama, Mhe. Nape Nnauye amefunguka na kusema upinzani nchini Tanzania hautaweza hata siku moja kukiangusha Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika madaraka kwa kuwa inapofika wakati wa kutafuta dola hawana urafiki na mtuNape Nnauye amesema hayo alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombe ubunge wa jimbo la Longido kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ambao unatarajiwa kufanyika kesho Januari 13, 2018.  "Ikifika wakati wa kutafuta dola CCM inakuwa kitu kingine kabisa, unaweza kuichezea wakati wa kawaida na tunaweza kupiga stori ila ikifika kwenye kutafuta dola hapo ni ma...

ZINAZOENDANA

Wanachama 18 wa ACT-Wazalendo wahamia CCM

1h ago

Viongozi 18 wa chama cha ACT-Wazalendo kutoka mikoa mbalimbali nchini wamejivua nyadhifa zao na kujiu...

Mtulia: Kinondoni Vuteni Subira, Nakuja Tena

1h ago

Aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni Dar es Salaam, Maulid Mtulia kupitia Chama cha CUF na baadaye kujiuzulu...

CCM yazidi 'kuvidhoofisha' vyama vya upinzani

3h ago

Viongozi 17 wa ACT- WAZALENDO na 19 wa CHADEMA wa ngazi mbalimbali wakiwemo wajumbe wa Kamati kuu, We...

CCM yazidi 'kuvidhoofisha' vyama vya upinzani (ACT na CHADEMA)

4h ago

Viongozi 17 wa ACT- WAZALENDO na 19 wa CHADEMA wa ngazi mbalimbali wakiwemo wajumbe wa Kamati kuu, We...

Viongozi 18 wajiengua ACT Wazalendo, Polepole adai CCM itatawala milele

5h ago

Zoezi la kuhama hama vyama bado linaendelea ambapo leo viongozi 18 wa chama cha ACT Wazalendo kutoka ...

Viongozi 18 ACT watimkia CCM

6h ago

Miongoni mwa wanachama hao, wapo waliokuwa wajumbe wa kamati kuu, wenyeviti wa mikoa na makatibu wa A...

Wasiojulika Wachoma Nyumba Ya Kiongozi Wa CCM

Watu wasiojulikana wamedaiwa kuchoma moto nyumba ya Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (CC...

Kiongozi wa CCM achomewa nyumba

8h ago

Nyumba ya Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wa Mkoa wa Iringa, Alphonce Muyinga i...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek