"Sina Bifu na Fid Q" Joh Makini

By Udaku Specially, 14w ago

Kama wewe ni mpenzi au mdau wa muziki wa Hip Hop hapa Bongo, basi hakuna ubishi kuwa kolabo kubwa inayosubiriwa na mashabiki ni kolabo kati ya Joh Makini na Fid Q.Je, unajiuliza kolabo hii huenda ikatokea? ukweli ni kwamba ondoa shaka kwa hilo kwani Joh Makini amesema kuwa ni muda tu unasubiriwa kwani wawili hao hawajahi kukaa pamoja kuzungumzia ishu za kolabo lakini endapo ikitokea nafasi ya kufanya hivyo watafanya.'€œMimi na Fid Q hatuna matatizo kama ambavyo watu wanafikiri, kwa sababu mimi mwenyewe binafsi sijawahi kuwa na matatizo naye na wala sijawahi kuona kama anamatatizo na mimi. ...

ZINAZOENDANA

Mambo saba yaliyojitokeza kifo cha Masogange

8h ago

Masogange ameweza kuwakutanisha washindani wawili wa soko la muziki wa Bongo Fleva, nao si wengine ni...

Elycent apandisha Bendera ya hip hop kwa kutamba kama Aslay

9h ago

Msanii wa muziki wa rap kutoka nchini Kenya, Mwakima Elisha a.k.a Elycent amezungumzia mabadiliko ya ...

NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO UWANJANI

Si wengine ni hile bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni ...

Mkubwa Fela- Wanaopenda Kuona Diamond na Ali Kiba Wana Ugomvi Wameumbuka

16h ago

Sio jambo la siri kuwa Wasanii wakubwa wa Bongo fleva Diamond Platnumz na Ali Kiba hawaivi chungu kim...

Mimi Mars- Napenda Kufanya Kazi Na Wasanii Wengine

20h ago

Mwanamuziki wa Bongo fleva Marianne Mdee maarufu kama Mimi Mars amefunguka na kuweka wazi kuwa moja k...

Video: Hennesseyy f/ Akil The Brain & Elly da Bway - Show Me Love

20h ago

Mmiliki wa lebo ya muziki ya Spacious Africa ambaye pia ni rapper, Hennesseyy, ameachia video ya ngom...

New Music: Rayvanny X S2kizzy - Pochi Nene

23h ago

Msanii wa muziki Bongo, Rayvany ameachia ngoma mpya ‘Pochi Nene’ akishirikiana na produce...

Ali Kiba na Diamond Uso Kwa Uso Kwenye Msiba Wa Masogange

24h ago

Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz na hasimu wake namba moja msanii mwenzake Ali Kiba wam...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek