"Sina Bifu na Fid Q" Joh Makini

By Udaku Specially, 10w ago

Kama wewe ni mpenzi au mdau wa muziki wa Hip Hop hapa Bongo, basi hakuna ubishi kuwa kolabo kubwa inayosubiriwa na mashabiki ni kolabo kati ya Joh Makini na Fid Q.Je, unajiuliza kolabo hii huenda ikatokea? ukweli ni kwamba ondoa shaka kwa hilo kwani Joh Makini amesema kuwa ni muda tu unasubiriwa kwani wawili hao hawajahi kukaa pamoja kuzungumzia ishu za kolabo lakini endapo ikitokea nafasi ya kufanya hivyo watafanya.'€œMimi na Fid Q hatuna matatizo kama ambavyo watu wanafikiri, kwa sababu mimi mwenyewe binafsi sijawahi kuwa na matatizo naye na wala sijawahi kuona kama anamatatizo na mimi. ...

ZINAZOENDANA

Spotify Kuingia Barani Afrika Rasmi Ikianzia Nchi Hii

23m ago

Teknolojia inaendelea kukua ulimwenguni kote kwenye sekta mbalimbali za maendeleo, kijamii, kiuchumi,...

Diva ashangazwa na maamuzi ya BASATA 'unafungia msanii badala ya wimbo?' (+video)

1h ago

Mtangazaji wa kituo cha Redio cha Clouds FM, Diva The Bawse ameshangazwa na baadhi ya maamuzi yanayot...

Professor aishauri Basata 'mtoto akikosea usimchinje kichwa'

1h ago

Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop na Mbunge wa Mikumi, Profesa Jay, amefunguka juu ya Baraza la San...

Nakubali anachofanya Alikiba - Q Boy Msafi

3h ago

Msanii wa muziki Bongo na mbunifu wa mavazi, Q Boy Msafi amesema anakubali kile anachofanya Alikiba k...

Jux afunguka juu ya kupeleka wimbo wake wa 'Fimbo' BASATA

3h ago

Msani wa muziki wa kizazi kipya na Staa wa ngoma ya Juu iliyomshirikisha Mpenzi wake Vanessa Mdee, Ju...

Watu wa Media tuache ku-support visivyokuwa vya msingi - Jabir Saleh, Mtangzaji E FM (+video)

3h ago

Mtangazaji wa kipindi cha Ladha 3600 kutoka E FM, Jabir Saleh amesema moja ya vitu ambavyo vinarudish...

King Fanatic ajipanga kurusha kombo la Nyumbani

3h ago

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka DR Kongo mwenye makazi yake nchini Uholanzi ametoa sababu za ...

Wigi la Lady JayDee lachomoka kichwani akicheza kwenye video ya wimbo mpya

3h ago

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania na Staa wa ngoma 'I Miss U' na B...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek