"Sina Bifu na Fid Q" Joh Makini

By Udaku Specially, 1w ago

Kama wewe ni mpenzi au mdau wa muziki wa Hip Hop hapa Bongo, basi hakuna ubishi kuwa kolabo kubwa inayosubiriwa na mashabiki ni kolabo kati ya Joh Makini na Fid Q.Je, unajiuliza kolabo hii huenda ikatokea? ukweli ni kwamba ondoa shaka kwa hilo kwani Joh Makini amesema kuwa ni muda tu unasubiriwa kwani wawili hao hawajahi kukaa pamoja kuzungumzia ishu za kolabo lakini endapo ikitokea nafasi ya kufanya hivyo watafanya.'€œMimi na Fid Q hatuna matatizo kama ambavyo watu wanafikiri, kwa sababu mimi mwenyewe binafsi sijawahi kuwa na matatizo naye na wala sijawahi kuona kama anamatatizo na mimi. ...

ZINAZOENDANA

VANESSA MDEE AGEUKA MACHINGA MLIMANI CITY

    'Mtoto mtamu' katika tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee '...

Mauno ya Vanessa Mdee ya wapagawisha mashabiki (+Video)

6h ago

Msanii wa muziki Bongo Vanessa Mdee amekonga mioyo yamashabiki zake kwa kuamua kukata mauno mbele yao...

VANESSA MDEE ATIMBA KITAA NA STAILI YA MACHINGA

    'Mtoto mtamu' katika tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee '...

PICHA 17: Vanessa Mdee akiuza Album yake ya Money Mondays Mlimani City

7h ago

Leo January 20, 2018 Mwimbaji Staa wa kutoka Bongoflevani Vanessa Mdee amekutana na mashabiki wake...

Album ya Vanessa Mdee yagharimu zaidi ya Sh100 milioni

7h ago

Msanii wa muziki wa kizazi kipya,  Vanessa Mdee amesema ametumia zaidi ya Sh100 milioni kuandaa al...

DULLA MAKABILA: '€œMahusiano yalitaka kuharibu Muziki wangu'€

9h ago

Msanii wa Muziki wa Singeli Dulla Makabila amefunguka baada ya kuachana na mpenzi wake kwa mara ya pi...

Diva Amwagwa Dadharani na Heri Muziki Mbele ya Watangazaji Wenzie, Ataka Kuzimia

Yule binti ambaye mahari yake hadi sasa ni Tsh Million 200 za kitanzania na ambaye ni mtangazaji mwen...

Msanii Engine Atoboa Siri ya Kumchukua Wolper

11h ago

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Engine ambaye hivi karibuni kulikuwa na tetesi za kumng’oa Jac...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek