Staa wa Soka Ageuka Kichaa

By Udaku Specially, 1w ago

Ijumaa ya January 12 2018 katika mitandao ya kijamii zimeenea taarifa za kusikitisha kuhusu staa wa zamani wa soka wa kimataifa wa Nigeria aliyewahi kuvichezea vilabu mbalimbali Ulaya Wilson Oruma kuripotiwa kuwa amepata ukichaa.Oruma ameripotiwa kupata ukichaa baada ya kutapeliwa na mchungaji (Pastor) wake Naira bilioni 1.2 ambazo ni zaidi ya shilingi Bilioni 75 za kitanzania, ambapo mchungaji huyo alimshauri Oruma ampatie pesa hizo ili wafanye uwekezaji katika biashara ya mafuta.Kama utakuwa unakumbuka vizuri Wilson Oruma licha ya kuiongoza Nigeria U-17 kama nahodha na kutwaa Ubingwa wa duni...

ZINAZOENDANA

Dully Sykes aamua kwenda Mahakamani kushtaki mtandao wa simu

Msanii Dully Sykes ameeleza jinsi mtu alivyoeda kwenye kampuni ya simu na kurenew namba yake kisha ku...

'€œNamuelewa Babu Tale angeweza kuandika zaidi'€ - Ruby

10h ago

Siku chache zilizopita video ya Msanii kutoka Bongoflevani Ruby akiimba wimbo wa ‘Sitabaki kama...

Rwanda yatakata Chan

12h ago

Rwanda wameungana na Nigeria katika usukani wa Kundi C wa mashindano ya Mataifa ya Afrika CHAN 2018, ...

Mama Uwoya Amjia Dogo Janja juu ni Baada ya Kupachika Mimba

14h ago

Staa wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya, Naima Uwoya akiongea jambo na anayedaiwa kuwa mume wa...

Zuriel's 3 Country Film Class Ends in Abidjan, After Accra & Lagos Stops

1d ago

The UN's 17 Sustainable Development Goals towards a better world by 2030 wraps around a myriad...

Peter Msechu na Baba Levo kuja na Tv Show

1d ago

Wasanii wa muziki Bongo, Peter Msechu amefunguka mipango ya kuja na tv show kati yake na Baba Levo. P...

Cassper afunguka kuhusu bifu lake na AKA

2d ago

Msani kutoka South Africa Cassper Nyovest kwa sasa yupo nchini Nigeria na anataka kila mtu ajue kuhus...

Wizkid Ashangazwa na bei ya Midoli ya Kufanyia Ngono 'S3x Dolls'

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid ameshangazwa na bei ya midoli ya ngono 'Sex Dolls'€...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek