Staa wa Soka Ageuka Kichaa

By Udaku Specially, 10w ago

Ijumaa ya January 12 2018 katika mitandao ya kijamii zimeenea taarifa za kusikitisha kuhusu staa wa zamani wa soka wa kimataifa wa Nigeria aliyewahi kuvichezea vilabu mbalimbali Ulaya Wilson Oruma kuripotiwa kuwa amepata ukichaa.Oruma ameripotiwa kupata ukichaa baada ya kutapeliwa na mchungaji (Pastor) wake Naira bilioni 1.2 ambazo ni zaidi ya shilingi Bilioni 75 za kitanzania, ambapo mchungaji huyo alimshauri Oruma ampatie pesa hizo ili wafanye uwekezaji katika biashara ya mafuta.Kama utakuwa unakumbuka vizuri Wilson Oruma licha ya kuiongoza Nigeria U-17 kama nahodha na kutwaa Ubingwa wa duni...

ZINAZOENDANA

Shahidi wa Loli la Mafuta Lililowaka Moto Aeleze Break za Gari Zilivyofeli na Matairi Kuanza Kuwaka Moto

Taarifa za kutokea kwa ajali ya lori lililoteketea na moto kwenye Mlima Sekenke mchana huu, mkoani Si...

Maswali Mengi Yaibuka Baada ya Nisha Bebe Kutupia Picha Akiwa na Ex wa Wolper

Kwenye upande wa mitandao ya kijamii picha na videos ambazo zimekuwa ziki-trend ni za muigizaji Nisha...

Daptchi:Buhari akutana na wasichana 106 baada ya kuachwa huru Nigeria

5h ago

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amewapokea wasichana 106 na mvulana mmoja jijini Abuja.

Kamanda Muroto: Watakaoandamana April 20 Watajikuta Vilema

Wakati vuguvugu la maandamano yanayoandaliwa kupitia mitandao ya kijamii likiendelea kupamba moto, Ka...

Mama Anashikiliwa na Polisi kwa Kumvutisha Mwanae Sigara

Mwanamke mmoja kutoka nchini Marekani leo March 22, 2018 ameshikiliwa na polisi baada ya kusambaa kwa...

Jide na ishu ya kuishi Nigeria

11h ago

MEI 20, mwaka jana ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, nilibahatika kuwa miongoni mwa waalikw...

Nisha Amkwapua Brown Ex Wa Wolper

11h ago

Muigizaji wa Bongo movie Nisha bebe ameingia Kwenye headlines Kwenye mitandao ya kijamii kwa hivi sas...

Kamanda: Watakaoandamana Aprili 26 watajikuta na vilema

12h ago

 Wakati vuguvugu la maandamano yanayoandaliwa kupitia mitandao ya kijamii likiendelea kupamba moto...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek