Waandishi Waanzisha Mgomo Baada ya Mwenzao Kutekwa

By Udaku Specially, 15w ago

Siku ya leo taarifa ambazo zimeshika vichwa vya vyombo vingi vya habari  nchini DR Congo ni kuhusu wandishi wa habari nchini humo kuitisha mgomo usio na kikomo baada ya kutekwa kwa mwandishi mwenzao.Mwandishi wa habari wa Radio China (CRI), Molelwa Mseke Jide ameripoti kuwa waandishi wa Habari wa mji wa Beni nchini humo walikuwa kwenye kikao cha kuazimia mgomo huo.Jide amesema kuwa mwandishi aliyetekwa ni Kiongozi Mkuu wa Radio Graben iliyopo mji wa Goma anayeitwa Kasereka Jadomwangwingwi.Ameeleza kuwa mwandishi huyo alitekwa jana January 11, 2018 saa 11 jioni akiwa ndani ya msafara wa ma...

ZINAZOENDANA

Rais wa Korea Kaskazini Kukutana na Mwenzake wa Kusini

Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un anakuwa Kiongozi wa kwanza wa nchi hiyo kuingia nchini Korea Kus...

RIPOTI: TRUMP, CHINA, URUSI TISHIO KWA UHURU WA HABARI

14h ago

BERLIN, UJERUMANI RIPOTI iliyotolewa na Shirika la Waandishi wasio na Mipaka (RSF) imemtuhumu Rais wa...

Cheka kweli ana njaa, ila hanunuliki kirahisi hivyo

15h ago

UMEMSIKIA Francis Cheka! Anakwambia kule China aliwekewa mezani dau la Dola 50,000 (zaidi ya Sh 114 m...

China: Ina raia wenye ujuzi mkubwa kiufundi na kiteknolojia

1d ago

China ni taifa ambalo mfumo wake wa elimu umezingatia zaidi uimarishaji wa teknolojia na ujuzi wa kiu...

Jisi gani Uchina inavyotumia kompyuta na kamera kuwakamata wahalifu

3d ago

Serikali ya China kupitia jeshi lake la Polisi wamefunga zaidi ya kamera milioni 176 kwenye maen...

Habari Njema, Daraja la Nyerere Laingiza Bilioni 14.9

Daraja la Nyerere, Kigamboni Dar es Salaam limeingiza Tsh. Bilioni 14.9 kwa kipindi cha July 2017 had...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek