Waandishi Waanzisha Mgomo Baada ya Mwenzao Kutekwa

By Udaku Specially, 5d ago

Siku ya leo taarifa ambazo zimeshika vichwa vya vyombo vingi vya habari  nchini DR Congo ni kuhusu wandishi wa habari nchini humo kuitisha mgomo usio na kikomo baada ya kutekwa kwa mwandishi mwenzao.Mwandishi wa habari wa Radio China (CRI), Molelwa Mseke Jide ameripoti kuwa waandishi wa Habari wa mji wa Beni nchini humo walikuwa kwenye kikao cha kuazimia mgomo huo.Jide amesema kuwa mwandishi aliyetekwa ni Kiongozi Mkuu wa Radio Graben iliyopo mji wa Goma anayeitwa Kasereka Jadomwangwingwi.Ameeleza kuwa mwandishi huyo alitekwa jana January 11, 2018 saa 11 jioni akiwa ndani ya msafara wa ma...

ZINAZOENDANA

China yaipatia Z'bar 34.9bn/-

4h ago

January 17, 2018 NA MADINA ISSA WIZARA ya Fedha na Mipango, imetiliana saini na serikali ya China mka...

Wanafunzi 1500 kuongeza ujuzi China kupitia Solutions Tanzania

6h ago

Taasisi ya Elimu Solutions Tanzania Ltd imewataka Wafanyakazi na Wajasiriamali wa Tanzania kuchangamk...

WANAOOMBA UFADHILI WA MASOMO CHINA, JAPAN WATAHADHARISHWA

8h ago

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiMKURUGENZI Mtendaji wa Elimu Solutions (T) Limited Neithan Suedy ames...

CHINA YAAHIDI UWEKEZAJI MKOA WA KAGERA.

Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa kimataifa wa Chama Cha Mapinduzi  (SUKI) Comred Ngemel...

WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR ATILIANA SAINI NA BALOZI MDOGO WA CHINA XIE XIAO WU ZANZIBAR

12h ago

 Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed kushoto akitiliana saini na Baloz...

Habari Picha: Waziri wafedha Zanzibar akitiliana saini na Balozi mdogo wa China

13h ago

  Picha Yussuf Simai/ Maelezo Zanzibar. The post Habari Picha: Waziri wafedha Zanzibar akitilian...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek