Waandishi Waanzisha Mgomo Baada ya Mwenzao Kutekwa

By Udaku Specially, 15w ago

Siku ya leo taarifa ambazo zimeshika vichwa vya vyombo vingi vya habari  nchini DR Congo ni kuhusu wandishi wa habari nchini humo kuitisha mgomo usio na kikomo baada ya kutekwa kwa mwandishi mwenzao.Mwandishi wa habari wa Radio China (CRI), Molelwa Mseke Jide ameripoti kuwa waandishi wa Habari wa mji wa Beni nchini humo walikuwa kwenye kikao cha kuazimia mgomo huo.Jide amesema kuwa mwandishi aliyetekwa ni Kiongozi Mkuu wa Radio Graben iliyopo mji wa Goma anayeitwa Kasereka Jadomwangwingwi.Ameeleza kuwa mwandishi huyo alitekwa jana January 11, 2018 saa 11 jioni akiwa ndani ya msafara wa ma...

ZINAZOENDANA

Jisi gani Uchina inavyotumia kompyuta na kamera kuwakamata wahalifu

1d ago

Serikali ya China kupitia jeshi lake la Polisi wamefunga zaidi ya kamera milioni 176 kwenye maen...

Habari Njema, Daraja la Nyerere Laingiza Bilioni 14.9

Daraja la Nyerere, Kigamboni Dar es Salaam limeingiza Tsh. Bilioni 14.9 kwa kipindi cha July 2017 had...

BOSI IMF AZITAKA MAREKANI NA CHINA KUTATUA MVUTANO WA KIBIASHARA

1d ago

WASHINGTON, MAREKANI MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF), Christine Lagarde am...

BALOZI WA TANZANIA NCHINI CHINA AZUNGUMZIA FURSA AMBAYO NCHI YETU IMEIPATA KWENYE MAONESHO YA UTALII

3d ago

Na Ripota Wetu, ChinaBALOZI wa Tanzania nchini China Mbelwa Kairuki amesema zaidi watu 1,000 wamepa...

KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI

3d ago

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda ak...

KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda akizungu...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek