Lipumba, Nchemba na Nape Wafunga Kampeni za Udiwani

By Udaku Specially, 5d ago

Kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge na udiwani utakaofanyika zimefungwa leo kwa wagombea na wapambe wao kutoa tambo mbalimbali.Majimbo yatakayofanya uchaguzi huo kesho Januari 13, 2018 ni Longido, Singida Kaskazini, Songea Mjini pamoja na Udiwani kwenye Kata kadhaa.Katika jimbo la Singida Kaskazini, Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), Dk Mwigulu Nchemba amefunga kampeni hizo katika Kijiji cha Pohama tarafa Mgori alikozaliwa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Lazaro Nyalandu.Dk Mwigulu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani akimnadi mgombea wa CCM Justine Monko amewahimiza wapinga kura kumpingia kur...

ZINAZOENDANA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Titus Mwinuka kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Januari, 2018 ame...

Wanachama 18 wa ACT-Wazalendo wahamia CCM

1h ago

Viongozi 18 wa chama cha ACT-Wazalendo kutoka mikoa mbalimbali nchini wamejivua nyadhifa zao na kujiu...

Mtulia: Kinondoni Vuteni Subira, Nakuja Tena

1h ago

Aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni Dar es Salaam, Maulid Mtulia kupitia Chama cha CUF na baadaye kujiuzulu...

Hatima ya waliofukuzwa kwa vyeti feki

1h ago

Shirikisho la Vyama Vya wafanyakazi Nchini, TUCTA, limetangaza kwamba, hatma kuhusu kulipwa kifuta ja...

CCM yazidi 'kuvidhoofisha' vyama vya upinzani

3h ago

Viongozi 17 wa ACT- WAZALENDO na 19 wa CHADEMA wa ngazi mbalimbali wakiwemo wajumbe wa Kamati kuu, We...

Balozi Seif aipiga Tafu timu kongwe ya Ujamaa

4h ago

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumnza na Uongozi wa Timu ya Soka...

CCM yazidi 'kuvidhoofisha' vyama vya upinzani (ACT na CHADEMA)

4h ago

Viongozi 17 wa ACT- WAZALENDO na 19 wa CHADEMA wa ngazi mbalimbali wakiwemo wajumbe wa Kamati kuu, We...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek