Lipumba, Nchemba na Nape Wafunga Kampeni za Udiwani

By Udaku Specially, 1w ago

Kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge na udiwani utakaofanyika zimefungwa leo kwa wagombea na wapambe wao kutoa tambo mbalimbali.Majimbo yatakayofanya uchaguzi huo kesho Januari 13, 2018 ni Longido, Singida Kaskazini, Songea Mjini pamoja na Udiwani kwenye Kata kadhaa.Katika jimbo la Singida Kaskazini, Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), Dk Mwigulu Nchemba amefunga kampeni hizo katika Kijiji cha Pohama tarafa Mgori alikozaliwa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Lazaro Nyalandu.Dk Mwigulu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani akimnadi mgombea wa CCM Justine Monko amewahimiza wapinga kura kumpingia kur...

ZINAZOENDANA

MWENYEKITI UVCCM AWACHANA CHADEMA - VIDEO

Mwenyekiti wa umoja wa vijana UVCCM TAIFA, Kheri James amekisifia chama chake cha CCM na kusema watas...

Mwakyembe, Simba, wakubaliana mapya uwekezaji wa Mo

4h ago

Waziri mwenye dhamana ya michezo Dr. Harrison Mwakyembe alipata fursa ya kuzungumza na viongozi wa kl...

Etiene apongeza kichapo

5h ago

Kocha wa Mbao FC Etiene Ndayiragije ameipongeza Stand United ‘Chama la Wana’ baada ya tim...

GOOD NEWS: Treni kutoka DSM mpaka Rwanda itachukua saa 12

6h ago

Leo January 20, 2018 Siku chache zilizopita Rais Kagame wa Rwanda alifanya ziara ya kikazi nchini na ...

Mbao yanyukwa Kirumba

7h ago

Stand United imeichapa Mbao FC kwa bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa...

UVCCM YAVUNA WANACHAMA 350 CHUO KIKUU DAR ES SALAAM

7h ago

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kheri J...

SHIMIWI kutekeleza agizo la Makamu wa Rais

7h ago

SHIRIKISHO la Michezo la Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI), litatekeleza agizo la Makamu wa Rais ...

CUF WAJIGAMBA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI MCHAGUZI MDOGO

8h ago

Na Ripota , Globu ya jamii .CHAMA cha Wananchi(CUF) kimesema kimejipanga vema kuhakikisha wanashinda ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek