Lowassa ahusishwa na Uzushi wa Kifo Cha Mrema

By Edwin Moshi, 5d ago

Mwenyekiti wa Bodi ya Parole, Augustine Mrema amefika kituo cha polisi cha OysterBay kuripoti tukio la kuzushiwa kifo kupitia mitandao ya kijamiiMrema amedai waliozusha taarifa hizo walitaka wananchi wasisikilize mazungumzo aliyofanya Rais Magufuli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa badala yake wajadili kifo chake"Lengo lao lilikuwa kuvuruga mkutano wa Lowassa na Rais ambao ulifanyika Ikulu, hivyo walikuwa hawataki watu wafuatilie ndiyo walijua wakisema Mrema amekufa watu wangekuwa bize na mimi kwa sababu mimi ni mashuhuri, na wasingehangaika na kile ambacho rais alichoongea na Lowassa" Mr...

ZINAZOENDANA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Titus Mwinuka kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Januari, 2018 ame...

Mtulia: Kinondoni Vuteni Subira, Nakuja Tena

1h ago

Aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni Dar es Salaam, Maulid Mtulia kupitia Chama cha CUF na baadaye kujiuzulu...

Hatima ya waliofukuzwa kwa vyeti feki

1h ago

Shirikisho la Vyama Vya wafanyakazi Nchini, TUCTA, limetangaza kwamba, hatma kuhusu kulipwa kifuta ja...

Balozi Seif aipiga Tafu timu kongwe ya Ujamaa

4h ago

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumnza na Uongozi wa Timu ya Soka...

Agizo la JPM kwa Waziri Jafo na Prof. Ndalichako

5h ago

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza kuchukuliwa hatua dhidi ya viongozi na watendaji ambao shule z...

MAKAMU WA RAIS ATAKA WANANCHI KUACHA TABIA YA KUHARIBU MAZINGIRA

6h ago

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amewataka  Watanzania kucha...

Rais Dkt Magufuli apiga marufuku michango mashuleni

6h ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza kuchukuliwa hatua dhid...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek