Mzee Kingunge arudishwa tena Hospitalini

By Edwin Moshi, 6d ago

Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombare Mwiru amerejeshwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ili kuendelea na matibabu.Kingunge aliruhusiwa kutoka hospitalini hapo Januri 10, 2018 ili kwenda kushiriki tukio la mazishi ya mkewe ,Peras Ngombare Mwiru yaliyofanyika jana katika makaburi ya Kinondonbi jijini Dar es Salaam.Pares aliyefariki dunia Januari 4, katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa ugonjwa wa kupooza huku Kingunge naye akilazwa hospitalini hapo akiuguza majeraha ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake, Victoria jijini humo hivi karibuni.Akizungumza na Mwananchi le...

ZINAZOENDANA

DAWASCO kuwatibu na kuwalipa fidia wanachi wa Buguruni waliothirika na moto wa gesi

5h ago

Mamlaka ya maji safi na maji taka jiiji Dar Es Salaam imesema imepokea majeruhi watano waliounguzwa n...

Kiongozi wa chuo kikuu atumbuliwa

6h ago

Waziri wa elimu, sayansi, teknolojia na ufundi Profesa Joyce Ndalichako ameagiza kusimamishwa kazi kw...

Maamuzi ya DC Chemba baada ya mafuriko kuharibu nyumba (+Video)

11h ago

Baada ya mvua kuharibu nyumba zote za kata ya Mrijo katika Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma na kusababi...

MWANZO MWISHO: Kingunge asimulia alivyong'atwa na mbwa wake

13h ago

Mwanasiasa Mkongwe nchini Mzee Kingunge Ngombale Mwiru leo January 18, 2018 amemsimulia Katibu Mkuu w...

Maalim Seif Amtembelea Kingunge Hospitali Kumjulia Hali

13h ago

January 18, 2018 Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amemtembelea Mwanasiasa mkongwe nchini ...

Kiongozi wa Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili Atumbuliwa

13h ago

Waziri wa elimu, sayansi, teknolojia na ufundi Profesa Joyce Ndalichako ameagiza kusimamishwa kazi kw...

Breaking News: Katibu Mkuu wa Chadema Augua Ghafla Akimbizwa Amana

14h ago

Katibu Mkuu wa Chadema, Vincent Mashinji amepelekwa Hospitali ya Amana kutokana na kuzidiwa ghafla.Ha...

Video iliyorekodi mazungumzo ya Kingunge na Maalim Seif leo akiwa kitandani

14h ago

Leo January 18, 2018 Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amemtembelea Mwanasiasa mkongwe nch...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek