Jifunze Jambo Kwenye Simulizi Hii....SOMA

By Udaku Specially, 15w ago

Kijana mmoja aliitwa kwenda kwenye usaili wa kazi ya umeneja wa kampuni moja kubwa sana.Akafanikiwa kupita usaili wa awali na kutakiwa kwenda kukutana na mkurugenzi wa kampuni hiyo kwa ajli ya usaili wa mwisho.Mkurugenzi alipotazama CV ya Yule kijana aligundua kijana alifaulu vizuri sana shuleni kutokana na alama zake kuwa kubwa hivyo akamuuliza swali yule kijana ,'€œJE uliwahi kupata udhamini wowote ule shuleni?Kijana akajibu, '€œHAPANA'€Je ni baba yako aliyelipia karo zako za shule? '€œBaba yangu alifariki nikiwa na umri wa mwaka mmoja hivyo mama ndiye aliyenilipia kila kitu...

ZINAZOENDANA

Mikoa mitano inayo ongoza kwa ugojwa wa TB Tanzania

23m ago

Takwimu mpya za mwaka 2017, zimebaini kuwa Mkoa wa Dar es Salaam una asilimia 20 ya wagonjwa wa Kifua...

Ndege Kubwa Zaidi ya Emirates Iliyobeba Abiria 475 Yatua kwa Dharura Dar

27m ago

 Ndege ya kampuni ya Emirates iliyokuwa ikielekea Mauritius ikiwa na abiria 475 wakitokea Dubai,...

New Video: Kayumba - Tuongee

35m ago

Mwanamuziki Kayumba ametoa video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Tuongee, video imeongozwa ...

Usiku mzito Liverpool kwa Roma, Real na Bayern

1h ago

Liverpool ya Mohames Salah leo watakuwa na kibarua kizito mbele ya AS Roma katika mchezo wa kwanza wa...

Mabwawa mawili yakaribia kufurika nchini Kenya kufuatia mvua kubwa

1h ago

Mabwawa mawili nchini Kenya yanakaribia kufurika kutokana na mvua kubwa , inayotishia maisha ya maelf...

Watu Saba Arusha wakamatwa kwa kuhamasisha maandamano

2h ago

Watu saba akiwamo mwanamke mmoja wanashikiliwa na Polisi mkoani Arusha kwa tuhuma za kuhamasisha maan...

NEW VIDEO | Tiwa Savage Ft. Omarion - Get It Now Remix ( Official Music Video )

Tiwa Savage Ft. Omarion – Get It Now Remix ( Official Music Video ). Song available on streamin...

Waziri Ummy apiga marufuku kuuza dawa za malaria

2h ago

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeendelea na msisitizo ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek