Jifunze Jambo Kwenye Simulizi Hii....SOMA

By Udaku Specially, 10w ago

Kijana mmoja aliitwa kwenda kwenye usaili wa kazi ya umeneja wa kampuni moja kubwa sana.Akafanikiwa kupita usaili wa awali na kutakiwa kwenda kukutana na mkurugenzi wa kampuni hiyo kwa ajli ya usaili wa mwisho.Mkurugenzi alipotazama CV ya Yule kijana aligundua kijana alifaulu vizuri sana shuleni kutokana na alama zake kuwa kubwa hivyo akamuuliza swali yule kijana ,'€œJE uliwahi kupata udhamini wowote ule shuleni?Kijana akajibu, '€œHAPANA'€Je ni baba yako aliyelipia karo zako za shule? '€œBaba yangu alifariki nikiwa na umri wa mwaka mmoja hivyo mama ndiye aliyenilipia kila kitu...

ZINAZOENDANA

Kenya yapiga wenyeji Uzbekistan 2-1 mechi ya kirafiki

1m ago

Emerging Stars ya Kenya imeibuka mshindi 2-1 katika mechi ya kwanza ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa ...

MAAJABU: Mbwa azaliwa akiwa na Miguu 8 na Mikia 3

19m ago

Wakazi wa kijiji cha Mbaya, Kenya katika  eneo Lugari walipigwa na butwaa baada ya kumuona mbwa ...

PICHA: Robot ya Kwanza Kutengeneza Burger

19m ago

 Teknolojia ya Robot inaendelea kukua na kutumika katika nchi mbalimbali huku hofu ikitanda mion...

Simba 200 Huuawa Kila Mwaka na Binadamu Tanzania

19m ago

Habari ambayo iliripotiwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC ni kwamba zaidi ya simba 200 huua...

Viatu vya Plastiki Vyafungiwa Nchi za Jumuiya ya Ulaya....Kisa?

19m ago

Mahakama Kuu kwenye Umoja wa Nchi za Ulaya Mnamo March 14, 2018 imepiga marufuku rasmi viatu ya plast...

Spotify Kuingia Barani Afrika Rasmi Ikianzia Nchi Hii

19m ago

Teknolojia inaendelea kukua ulimwenguni kote kwenye sekta mbalimbali za maendeleo, kijamii, kiuchumi,...

Mtaalamu wa Nyoka Alivyouawa na Cobra

19m ago

Upo msemo unaosema 'Mganga hajigangi' na ndio msemo unaoweza kuutumia kwenye tukio moja ...

Chocolate ya Million 20 za Kitanzania Hii Hapa

19m ago

Inawezekana wewe ni moja kati ya watu wanaopenda chocolate kama kitafunwa (snack) lakini je umewahi k...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek