RC: Nikamatieni Wazazi hawa

By Edwin Moshi, 14w ago

Na Tiganya VincentSERIKALI Mkoani Tabora imeagiza kukamatwa mara moja wazazi au walezi ambao hadi kufikia Jumatatu ijayo (15, January 2018) watakuwa wameshindwa kuhakikisha kuwa watoto wao waliochaguliwa kujiunga Kidato cha kwanza mwaka huu watakuwa hajaripoti katika Shule walizopangiwa.Agizo hilo limetolewa jana mjini Sikonge na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri baada ya kupata taarifa kutoka kwa Afisa Elimu Mkoa iliyoakuwa ikionyesha kuwa idadi kubwa ya wanafunzi walichaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza mwaka 2018 bado wengi wao hawajaripoti katika Shule walizopangiwa.Alisema kuwa kufi...

ZINAZOENDANA

TUNAWASHAURI WANAFUNZI NI TAALUMA GANI WANATAKA KUSOMA KULINGANA NA SOKO LA AJIRA

Dk. Chriss Mauki Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam akizungumza na wanafunzi wa masomo ya Sayan...

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na mafunzo amali azindua zoezi la Upandaji miti Mkokotoni

11h ago

 KATIBU MKUU Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Idirisa Musilimu Hija akizindua zoezi la upanda...

Sababu ya serikali kupunguza bajeti ya Wizara ya Afya Hizi Hapa

13h ago

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imesema kuwa, kupungua kwa asilimia 19.6 b...

Chanjo ya kinga dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi iliyozinduliwa mkoani Tabora

Baadhi ya wanafunzi wa kike wa Shule za Msingi na Sekondari wakiwa katika maandamano ya kuunga mkono ...

Wanafunzi 264 wakatishwa masomo mkoani Geita, Baada ya daraja kusombwa na maji,wengine wanusurika kifo

18h ago

Wanafunzi watatu kati ya 264,wanaoishi katika kitongoji cha Nyamakara na kusomea katika shule ya msin...

UPANDAJI MITI CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MKOKOTONI WAFANA

18h ago

 Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Idirisa Musilimu Hija akizindua zoezi la upanda...

Serikali yaeleza sababu ya serikali kupunguza bajeti ya Wizara ya Afya

22h ago

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imesema kuwa, kupungua kwa asilimia 19.6 b...

WATAKA SHERIA YA WATIA MIMBA WANAFUNZI IONGEZWE MENO CALVIN GWABARA

22h ago

Na: Amina Hezron, MorogoroWito umetolewa kwa serikali kuhakikisha wanawadhibiti na kuwachukulia hatu...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek