RC: Nikamatieni Wazazi hawa

By Edwin Moshi, 10w ago

Na Tiganya VincentSERIKALI Mkoani Tabora imeagiza kukamatwa mara moja wazazi au walezi ambao hadi kufikia Jumatatu ijayo (15, January 2018) watakuwa wameshindwa kuhakikisha kuwa watoto wao waliochaguliwa kujiunga Kidato cha kwanza mwaka huu watakuwa hajaripoti katika Shule walizopangiwa.Agizo hilo limetolewa jana mjini Sikonge na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri baada ya kupata taarifa kutoka kwa Afisa Elimu Mkoa iliyoakuwa ikionyesha kuwa idadi kubwa ya wanafunzi walichaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza mwaka 2018 bado wengi wao hawajaripoti katika Shule walizopangiwa.Alisema kuwa kufi...

ZINAZOENDANA

Tamko La Waziri Wa Afyaummy Mwalimu Kuelekea Maadhimisho Ya Siku Ya Kifua Kikuu Duniani Machi 24 - Leo Mjini Dodoma

2h ago

Na WAMJW-Dodoma.# Kifua Kikuu(TB) ni ugonjwa wa kuambukiza unaoongoza kwa kusababisha vifo vingi Duni...

TAMISEMI KUBAINI WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

3h ago

KAIMU Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro, Ernest Mkongo amefunga Mafunzo Elekezi ya kubaini watoto wenye ...

MARUFUKU MADAKTARI KUJAZA FOMU ZA UCHUNGUZI AFYA BILA KUPIMA WANAFUNZI TB-UMMY MWALIMU

3h ago

Na Ripota Wetu, Globu ya jamiiWAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu a...

Serikali Yawaonya Maofisa Elimu

 Serikali imewaonya maofisa elimu nchini kutowapangia walimu wa sekondari wa masomo ya sanaa kwe...

TFF Yamsaka Atakayechukua Mikoba ya Mayanja

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeanika wazi vigezo vipya watakavyovizingatia mara baada ya kuanz...

'Utamu' wamaliza meno ya watoto Zanzibar

4h ago

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Simai Mohammed Said akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Msingi na Kati...

Walimu Dar Waandaliwa Tuzo Maalum Kuinua Ufaulu

  WAALIMU wa shule za msingi na sekondari wa Kata ya Kijichi Mkoa wa Dar es Salaam, wameahidiwa ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek