RC: Nikamatieni Wazazi hawa

By Edwin Moshi, 1w ago

Na Tiganya VincentSERIKALI Mkoani Tabora imeagiza kukamatwa mara moja wazazi au walezi ambao hadi kufikia Jumatatu ijayo (15, January 2018) watakuwa wameshindwa kuhakikisha kuwa watoto wao waliochaguliwa kujiunga Kidato cha kwanza mwaka huu watakuwa hajaripoti katika Shule walizopangiwa.Agizo hilo limetolewa jana mjini Sikonge na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri baada ya kupata taarifa kutoka kwa Afisa Elimu Mkoa iliyoakuwa ikionyesha kuwa idadi kubwa ya wanafunzi walichaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza mwaka 2018 bado wengi wao hawajaripoti katika Shule walizopangiwa.Alisema kuwa kufi...

ZINAZOENDANA

SERIKALI YA JAPAN YAAHIDI KUENDELEA KUSAIDIA MIRADI YA UMWAGILIAJI NCHINI

Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaharu Yoshida  akiweka jiwe la msingi shamba la mafunzo ya ...

DC LYANIVA AWAASA WATAALAMU WA MANUNUZI KUWA WAZALENDO

9h ago

 Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva amewaasa Wanafunzi wanao...

Binti mwenye uvimbe begani afariki dunia....Waziri Ummy Amlilia

9h ago

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema amesikitishwa na ki...

WAZIRI UMMY AMLILIA BINTI ALIYEKUWA NA UVIMBE BEGANI

11h ago

Na Mwandishi wetu – Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu a...

Mkoa wa Mtwara waanza Uhamasishaji kutokomeza mimba za Utotoni/Utoro

16h ago

Mkoa wa Mtwara Umeanza Kufanya Uhamasishaji wa Kuondoa Mimba za Utotoni na Wanafunzi wanaoacha Shul...

Ma-RC, DC wacharuka michango ya elimu shuleni

16h ago

BAADA ya agizo la Rais John Magufuli la kusisitiza marufuku ya michango shuleni, wakuu wa mikoa na wi...

WAZIRI MKUCHIKA AWAFUNDA WALENGWA WA TASAF

17h ago

Waziri wa Nchi Ofisi ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora  Mhe. George Mkuchika (...

ELIMU YA AFYA YA UZAZI YASISITIZWA KUOKOA VIJANA KISIWANI PEMBA

17h ago

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limetak...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek