"Wamesema nina UKIMWI"- Steve Nyerere

By Edwin Moshi, 10w ago

Msanii wa filamu nchini Tanzania na mwanasiasa Steve Nyerere amefunguka na kusema kuwa kutokana na matatizo ambayo anapitia ikiwa pamoja na maradhi yake kuna watu wengi wamekuwa wakisema kuwa ameathirika na kukwamaSteve amesema hayo alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha eNewz na kudai kuwa kwa sasa anasumbuliwa zaidi na miguu na kama kuna watu wamemtumia uchawi basi anawaomba msamaha wamsamehe ili aweze kupona. 

ZINAZOENDANA

Post ya Uwoya kwa Msami Yazua Gumzo Mtandaoni

Mke wa msanii Dogo Janja amezua maneno katika mtandao wa instagram baada ya kuweka picha ya mwanaume ...

Maneno ya Irene Uwoya kwa Msami 'Usi-force, Panic na Yako'

Leo March 20,2018 kwa upande wa burudani story ambayo na yenyewe inachukua headlines ni kutoka kwa mk...

TAFITI MBALIMBALI ZILIZOFANYWA NA WIZARA YA HABARI KUWASILISHWA KWA MAWAZIRI WA UTAMADUNI WA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA

3d ago

Na Genofeva Matemu - WHUSMWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe am...

Tanzania's rogue president

4d ago

NINAOMBA JULIANA SHONZA AKALIFUTIE USAJILI HILI GAZETI! Chanzo: Mitandao ya Kijamii ya ndani na nje y...

Uzunguni wapiga hesabu kusajili mastaa wapya

5d ago

Ligi daraja la tatu ngazi ya Mkoa wa Kilimanjaro  imemalizika mwishoni mwa wiki kwa timu ya Uzungu...

HABARI MPASUKOOO; GARI LAGONGA WATOTO KUIKWEPA BODABODA GONGO LA MBOTO

 Wasamaria wema wakiwa wamewabeba watoto waliogongwa na gari la mizigo katika makutano ya Barabara...

GARI LAGONGA WATOTO KUIKWEPA BODABODA GONGO LA MBOTO

6d ago

    Na Richard Mwaikenda, GOMS WATOTO wawili wamegongwa na gari la mizigo katika ajali iliy...

GARI LAGONGA WATOTO KUIKWEPA BODABODA GONGO LA MBOTO

6d ago

    Na Richard Mwaikenda, GOMS WATOTO wawili wamegongwa na gari la mizigo katika ajali iliy...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek