"Wamesema nina UKIMWI"- Steve Nyerere

By Edwin Moshi, 10w ago

Msanii wa filamu nchini Tanzania na mwanasiasa Steve Nyerere amefunguka na kusema kuwa kutokana na matatizo ambayo anapitia ikiwa pamoja na maradhi yake kuna watu wengi wamekuwa wakisema kuwa ameathirika na kukwamaSteve amesema hayo alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha eNewz na kudai kuwa kwa sasa anasumbuliwa zaidi na miguu na kama kuna watu wamemtumia uchawi basi anawaomba msamaha wamsamehe ili aweze kupona. 

ZINAZOENDANA

Waziri Mkuu Aridhishwa Na Mradi Wa Ujenzi Wa 'Termina lIII'

2h ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria katika Kiwanja cha...

WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA MRADI WA UJENZI WA 'TERMINAL III'

3h ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria katika Kiwanja ch...

WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA MRADI WA UJENZI WA 'TERMINAL III'

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwan...

WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA MRADI WA UJENZI WA 'TERMINAL III'

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa.  Katikati  mwenye tai akikagua maendeleo ya ujenzi  wa Jen...

Post ya Uwoya kwa Msami Yazua Gumzo Mtandaoni

Mke wa msanii Dogo Janja amezua maneno katika mtandao wa instagram baada ya kuweka picha ya mwanaume ...

Maneno ya Irene Uwoya kwa Msami 'Usi-force, Panic na Yako'

Leo March 20,2018 kwa upande wa burudani story ambayo na yenyewe inachukua headlines ni kutoka kwa mk...

TAFITI MBALIMBALI ZILIZOFANYWA NA WIZARA YA HABARI KUWASILISHWA KWA MAWAZIRI WA UTAMADUNI WA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA

3d ago

Na Genofeva Matemu - WHUSMWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe am...

Tanzania's rogue president

5d ago

NINAOMBA JULIANA SHONZA AKALIFUTIE USAJILI HILI GAZETI! Chanzo: Mitandao ya Kijamii ya ndani na nje y...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek