Mama aliyeingizwa mkenge na mchungaji nyumba yake yapigwa mnada

By Edwin Moshi, 14w ago

Mama mmoja ambaye ni mkazi wa Kunduchi Beach jijini Dar es salaam Mtaa wa Kondo Ijumaa hii amejikuta katika wakati mgumu baada ya nyumba yake iliyopo mtaa huo plot No.239 Block B, kupigwa mnada 'kimagumashi' na kampuni ya udalali inayojitambulisha kwa jina la Nkaya Company Limited yenye makazi yake Namanga Kinondoni jijini Dar es salaam.Akiongea na waandishi wa habari mama huyo aliyejitambulisha kwa jina la Zainabu J Kaswaka muda mfupi baada ya mnada huo, alisema tayari nyumba hiyo ilikuwa na zuio la mahakama mpaka pale kesi ya msingi itakapozungumza juu ya nyumba hiyo na deni ana...

ZINAZOENDANA

Tazama Live Uzinduzi wa Jengo la Capital One na Tawi la NMB Unaofanywa na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanina

 Fuatilia LIVE uzinduzi wa jengo la Capital One na tawi la NMB unaofanywa na Raisi wa Jamhuri ya...

Mafundi mitambo wa redio jamii watakiwa kutumia nafasi zao kuleta mabadiliko

4m ago

Washiriki wa mafunzo ya ufundi mitambo ya kurushia matangazo ya redio ambayo yameshirikisha mafundi k...

Ugaidi: Salah Abdeslam ahukumiwa kufungwa miaka 20 jela

4m ago

Mahakama ya Ubelgiji imemhukumu Salah Abdeslam kifungo cha miaka 20 baada ya kupatikana na hatia inay...

FA yaomba radhi kwa ujumbe wake wa mtandao wa Twitter

6m ago

Chama cha soka cha England FA, kimeomba radhi baada ya akaunti yake ya mtandao wa twita kumdhiki msha...

Arsene Wenger awatupia lawama mashabiki adai wamekosa umoja

10m ago

Mara baada ya meneja wa Arsenal, Arsene Wenger siku ya Ijumaa kutangaza kuondoka ndani ya klabu hiyo ...

Bora Masogange Alishahukumiwa- Wema Sepetu

14m ago

Malkia wa Bongo Muvi, Wema Sepetu, amefika tena mahakamani leo kusikiliza kesi inayomkabili ya matumi...

Baada ya Ndoa ya Alikiba Mbasha Ajiweka kwa Jokate " Usihofu Yetu Inakuja"

14m ago

Baada ya msanii Alikiba kuoa, maneno mengi na maswali yamekuwa yakielekezwa kwa mrembo Jokate Mwegelo...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek