Mama aliyeingizwa mkenge na mchungaji nyumba yake yapigwa mnada

By Edwin Moshi, 1w ago

Mama mmoja ambaye ni mkazi wa Kunduchi Beach jijini Dar es salaam Mtaa wa Kondo Ijumaa hii amejikuta katika wakati mgumu baada ya nyumba yake iliyopo mtaa huo plot No.239 Block B, kupigwa mnada 'kimagumashi' na kampuni ya udalali inayojitambulisha kwa jina la Nkaya Company Limited yenye makazi yake Namanga Kinondoni jijini Dar es salaam.Akiongea na waandishi wa habari mama huyo aliyejitambulisha kwa jina la Zainabu J Kaswaka muda mfupi baada ya mnada huo, alisema tayari nyumba hiyo ilikuwa na zuio la mahakama mpaka pale kesi ya msingi itakapozungumza juu ya nyumba hiyo na deni ana...

ZINAZOENDANA

Aisee! Kumbe mama alimtuma Telela

2m ago

KIUNGO wa Ndanda FC, Salum Telela 'Shemeji' aliamua kukimbia vyuo vyote vya Dar es Salaa...

Aisee! Kumbe mama alimtuma Telela

2m ago

KIUNGO wa Ndanda FC, Salum Telela 'Shemeji' aliamua kukimbia vyuo vyote vya Dar es Salaa...

Katika muziki ushirikina upo - Man Fongo

2m ago

Msanii wa muziki wa Singeli, Man Fongo amefunguka tetesi za kufanyiwa ushirikina katika muziki wake i...

WATUMISHI NA MADIWANI SHIRIKIANENI-MAJALIWA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Saba Saba katika mji...

Sekta Ya Habari Ina Wajibu Wa Kupongeza Mafanikio Ya Serikali: Dkt. Abbas

6m ago

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMAMkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO Dkt. Hassan Abbas ame...

Tahadhari Kuhusu Homa ya Chikungunya, Hakuna Tiba Mahusi Wala Kinga

8m ago

Serikali kupitia Wizara ya Afya imeutahadharisha umma kuhusu ugonjwa wa Homa ya Chikungunya ambao hua...

Msimamo mpya wa Rais kuhusu kunyonga watu

8m ago

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema anatafakari uwezekano wa kuanza tena kuwanyonga wahalifu nchin...

Kubenea akamatwa..aachiwa na kukamatwa tena na polisi Dodoma

10m ago

JESHI la Polisi mkoani hapa limemkamata tena Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), baada ya kuach...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek