Idadi Kubwa ya Wapenzi sio Kigezo cha Kupima Tabia ya Mtu

By Udaku Specially, 15w ago

Wengi wamejikuta wakiitwa wahuni kutokana na kuwa na uhusiano wa kimapenzi na makundi ya wanaume au wanawake. Hata hivyo wachunguzi wa masuala ya mapenzi wanasema idadi kubwa ya wapenzi si kigezo sahihi cha kupima tabia ya mtu na kumhusisha na uhuni.Watalaam hao wanataja safari ya kupata chaguo halisi la mwanaume/mwanamke wa maisha ndiyo inayowaponza wengi kiasi cha kujikuta wameingia katika kashfa ya kuwa na uhusiano na dazeni ya wapenzi.Wanasema msichana/mvulana anayeingia katika uwanja wa mapenzi kwa kuwa na hisia za kufanya ngono, hukosa umakini wa nani anafaa kuwa mpenzi wake kutokana na ...

ZINAZOENDANA

Siri 6 za Ali Kiba kumuoa Mkenya na Kuachana na Wabongo hizi hapa

Alfajiri ya Aprili 19, mwaka huu, Kiba alifunga ndoa na mrembo Amina Khaleef katika Msikiti wa Ummul ...

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa ...

Okoa Ndoa yako Sasa...Umepungukiwa na Nguvu za Kiume na Unashindwa Kupanda Mlima Vizuri

OKOA NDOA YAKO SASA : JE UMEPUNGUKIWA NA NGUVU ZA KIUME AU UUME WAKO MDOGO AU MPENZI WAKO HAKUTIMIZII...

Rais Mstaafu Afrika Kusini ajitangazia ndoa na binti mwenye umri wa miaka 24

9h ago

Aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, ameushangaza umma baada ya kuwepo na taarifa za kutarajia...

Wanaume Watano Wamejitokeza Wanataka Kunioa- Wema

10h ago

Muigizaji wa Bongo movie na mjasiriamali mwanadada Wema Sepetu amefunguka na kueleza jinsi wanaume wa...

Aslay Afunguka Kuhusiana na Ndoa Ya Ali Kiba

10h ago

Mwanamuziki wa Bongo fleva Aslay amefunguka na kuongelea ndoa ya staa wa Bongo wa fleva Ali Kiba iliy...

Abdi Banda Atangaza Ndoa na Dada Yake Ali Kiba

11h ago

Baraka inaendela kuzisi kuitembelea familia ya Ali Kiba Kwani Dada yake na Kiba anayejulikana kama Za...

Wema Abanwa Kuhusu Mimba Ya Daimond Afunguka Mazito

11h ago

UKITAJA mastaa wakubwa Bongo wenye mashabiki wengi, kamwe huwezi kuacha kutaja jina la Wema Isaac S...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek