Idadi Kubwa ya Wapenzi sio Kigezo cha Kupima Tabia ya Mtu

By Udaku Specially, 10w ago

Wengi wamejikuta wakiitwa wahuni kutokana na kuwa na uhusiano wa kimapenzi na makundi ya wanaume au wanawake. Hata hivyo wachunguzi wa masuala ya mapenzi wanasema idadi kubwa ya wapenzi si kigezo sahihi cha kupima tabia ya mtu na kumhusisha na uhuni.Watalaam hao wanataja safari ya kupata chaguo halisi la mwanaume/mwanamke wa maisha ndiyo inayowaponza wengi kiasi cha kujikuta wameingia katika kashfa ya kuwa na uhusiano na dazeni ya wapenzi.Wanasema msichana/mvulana anayeingia katika uwanja wa mapenzi kwa kuwa na hisia za kufanya ngono, hukosa umakini wa nani anafaa kuwa mpenzi wake kutokana na ...

ZINAZOENDANA

Mahakama ya Haki za Binadamu Yawataka Babu Seya na Mwanaye Wadai Fidia

3h ago

Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu(AfCHPR), imesema Mahakama za ndani Tanzania katika kes...

Huna Sababu ya Kuaibika Tena.....Jipatie Dawa Asili ya Tatizo la Nguvu za Kiume

6h ago

Matatizo ya nguvu za kiume  yamekua yakiathiri watu wengi sana kisaikologia hasa baada ya kujion...

Habari Njema: Tunatibu Busha, Korodani Kuvimba,Ngiri, Miguu Kufa Ganzi Pamoja na Matatizo ya Nguvu za Kiume

6h ago

Ni dawa ya nguvu za kiume inayorefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo (Inch 1-7) kwa muda wa sik...

Kutana na Mtaalamu wa Kusafisha Nyota, Mvuto wa Biashara na Mapenzi

7h ago

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa ...

Ndoa ya Uwoya, Dogo Janja pasua kichwa

8h ago

IMEPITA miezi mitano sasa tangu, wasanii wawili wa Bongo, Irene Uwoya anayetamba kwenye Filamu na Dog...

Shilole adai Uchebe anaitwa baba, wengine uncle

8h ago

Wawili hao walifunga ndoa mwishoni mwa mwaka jana.

Zawadi ya Hasheem Thabeet Kwenye Birthday ya Jokate Ilikuwa Moto, Ndio Mume Mtarajiwa?

Licha ya Jokate Mwegelo aka Kidoti kuachana na Hasheem Thabeet kwenye mahusiano yao ambayo yalidumu k...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek