Rekodi aliyoiweka Guardiola baada ya kushinda tuzo ya kocha bora wa mwezi

By Millard Ayo, 5d ago

Ligi Kuu England leo wametangaza tuzo tatu za mwezi December kama ilivyokawaida yake ya kila mwezi kutangaza mshindi wa tuzo ya kocha bora wa mwezi, mchezaji bora wa mwezi na goli bora la mwezi. EPL wamemtangaza kocha wa Man City Pep Guardiola kuwa ndio mshindi wa tuzo ya kocha bora wa mwezi December kwa Ligi Kuu England […]

ZINAZOENDANA

Hans van Pluijm: Siwaogopi Simba, nawaheshimu, tutawashangaza

3h ago

Na Baraka Mbolembole KUELEKEA mchezo wa Alhamis hii dhidi ya vinara Simba, kocha mkuu wa timu ya Sing...

Balozi Seif aipiga Tafu timu kongwe ya Ujamaa

4h ago

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumnza na Uongozi wa Timu ya Soka...

SportPesa, Everton wachangia vifaa vya michezo Afrika

5h ago

Siku ya Jumatatu ya Januari mosi, 2018, mamilioni ya mashabiki wa soka kote duniani waliokuwa wakitaz...

Yanga ikubali jambo moja tu kwa sasa

5h ago

Kuna wakati katika maisha ukiukubali ukweli basi utakufanya uwe huru katika kusimamia ukweli wa jambo...

YANGA IKUBALI JAMBO MOJA TU KWA SASA

NA.SAMUEL SAMUEL Kuna wakati katika maisha ukiukubali ukweli basi utakufanya uwe huru katika kusimami...

Yanga imeshindwa kupata ushindi kwa mara ya 7

7h ago

Yanga wamelazimishwa sare ya bila kufungana dhidi ya Mwadui FC, hiyo ni sare ya saba (7) kwa Yanga kw...

Yanga wamepoteza point ya 17 VPL msimu huu 2017/2018 leo

7h ago

Baada ya Ligi Kuu Tanzania bara kusimama kwa kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi 2018, leo January...

Yanga SC yavutwa shati na Mwadui FC uwanja wa Uhuru

7h ago

Mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara baina ya mabingwa watetezi klabu ya Yanga dhidi ya Nwadui FC um...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek