Mrema Amkaba Aliyemzushia Kifo, Lowassa Ahusishwa

By Udaku Specially, 1w ago

Mwenyekiti wa Bodi ya Parole, Augustine Mrema amefika kituo cha polisi cha OysterBay kuripoti tukio la kuzushiwa kifo kupitia mitandao ya kijamii.Mrema amedai waliozusha taarifa hizo walitaka wananchi wasisikilize mazungumzo aliyofanya Rais Magufuli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa badala yake wajadili kifo chake"Lengo lao lilikuwa kuvuruga mkutano wa Lowassa na Rais ambao ulifanyika Ikulu, hivyo walikuwa hawataki watu wafuatilie ndiyo walijua wakisema Mrema amekufa watu wangekuwa bize na mimi kwa sababu mimi ni mashuhuri, na wasingehangaika na kile ambacho rais alichoongea na Lowassa" M...

ZINAZOENDANA

Picha: Kuapishwa kwa George Weah kulivyofana

1m ago

Mwanasoka wa zamani wa Liberia, George Weah ameapishwa kuwa Rais wa nchi hiyo katika sherehe iliyohud...

Waziri Makamba akutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira

3m ago

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba hii leo amekutana n...

Waziri Makamba akutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba hii leo amekutana n...

Puigdemont awasili Denmark

33m ago

Mahakama Kuu ya Uhispania imefutilia mbali leo Jumatatu ombi la Mwendesha Mashtaka Mkuu la kurejesha ...

Hati ya Utambulisho,Rais Magufuli apokea hati za utambulisho

37m ago

Rais Dkt John Pombe Magufuli leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi sita walioteuliwa k...

George Weah aapishwa kuwa rais Liberia, aahidi kutimiza matarajio

45m ago

Nyota wa zamani wa kandanda duniani George Weah ameapishwa kuwa rais wa Liberia katika sherehe iliyoh...

Salum Mwalimu awajibu wanaodai kuwa si mkazi wa Kinondoni

49m ago

Mgombea ubunge wa Kinondoni kupitia Chadema, Salum Mwalimu amewajibu baadhi ya watu wanaodai kuwa yey...

Mkutano wa Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya,Kiongozi wa Palestina kuomba umoja huo kulitambua taifa la Palestina

1h ago

Kiongozi wa Palestina Mahmud Abbas amesema atauomba Umoja wa Ulaya kulitambua rasmi taifa la Palestin...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek