"Haiwezekani Kuiangusha CCM" - Nape Nnauye

By Udaku Specially, 14w ago

Mbunge wa jimbo la Mtama, Mhe. Nape Nnauye amefunguka na kusema upinzani nchini Tanzania hautaweza hata siku moja kukiangusha Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika madaraka kwa kuwa inapofika wakati wa kutafuta dola hawana urafiki na mtu.Nape Nnauye amesema hayo alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombe ubunge wa jimbo la Longido kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ambao unatarajiwa kufanyika kesho Januari 13, 2018. "Ikifika wakati wa kutafuta dola CCM inakuwa kitu kingine kabisa, unaweza kuichezea wakati wa kawaida na tunaweza kupiga stori ila ikifika kwenye kutafuta dola hapo ni ma...

ZINAZOENDANA

MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR NI SAWA NA ZIMWI KUSHIRIKIANA NA KIBUSHUTI??

5h ago

MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR NI SAWA NA ZIMWI KUSHIRIKIANA NA KIBUSHUTI?? Hafidh Ally Katika ki...

Utabiri hali ya upinzani 2020

11h ago

Kuna madai kuwa Tanzania itaingia katika Uchaguzi Mkuu ujao ikiwa na ushindani dhaifu wa upinzani dhi...

UVCCM YACHAMBUA UTENDAJI WA DK. SHEIN

11h ago

Na Mwandishi Wetu-Zanzibar UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umechambua utendaji kazi w...

Polepole: CCM Haijamkosoa CAG, CHADEMA Ndo Waliomkosoa

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao k...

Polepole: CCM Haijamkosoa CAG......CHADEMA Ndo Waliomkosoa

1d ago

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao k...

CCM yaapa kutoa ushirikiano katika vita dhidi ya rushwa

1d ago

Musoma. Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mara kimeahidi kushirikiana na vyombo na mamlaka husika ku...

Rais Magufuli atuma salamu za pole kwa Familia ya Masogange

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia y...

Rais Magufuli aguswa na kifo cha Masogange

1d ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia y...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek