Picha: Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete katika mafunzo ya Kijeshi China miaka ya themanini

By Swahili Times, 1w ago

Kabla ya siasa Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete amewahi kuwa Mwanajeshi wa JWTZ na mwalimu wa siasa na itikadi katika Chuo cha Kijeshi Monduli. Alistaafu utumishi wa Jeshi Oktoba 1992, miezi michache baada ya kuanza kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania. Picha hizi zilipigwa mwanzoni mwa miaka ya 1980 akiwa mafunzoni nchini China. China na Tanzania zimekuwa na ushirikiano wa muda mrefu ikiwemo masuala ya ulinzi na usalama.  

ZINAZOENDANA

WAZIRI JAFO - ZINGATIENI UBORA NA KUEPUKA WAKANDARASI WABABAISHAJI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akikagua Barabara...

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Barala la Mawazi...

VIDEO: Ridhiwan akanusha '€œSio mimi niliesema CCM imeoza'€

6h ago

Jioni ya January 22 2017 kwenye mitandao ya kijamii kulizagaa taarifa kutokea kwenye ukurasa wa Insta...

Video: Mbunge Ridhiwani Kikwete akanusha ujumbe unaosambazwa mitandoni kumuhusu

7h ago

Mbunge wa Chalinze kupitia Chama cha Mpainduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete amekanusha ujumbe unaosambazw...

Rais Dkt Magufuli apokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi Sita kutoka nchi mbalimbali Ikulu

8h ago

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek