Vikao vya kamati za Bunge kuanza Januari 15

By Mpekuzi Huru, 1w ago

Taarifa kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  zinaeleza kuwa Vikao vya Kamati za Bunge vinatarajiwa kuanza Jumatatu tarehe 15 hadi 27 January, 2018 Mjini Dodoma, hii ikiwa ni kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kumi wa Bunge.Shughuli ambazo zimepangwa kutekelezwa katika kipindi cha vikao hivi ni pamoja na ziara za ufuatiliaji, uchambuzi wa miswada mbalimbali na kupokea maoni ya wadau, na kupok...

ZINAZOENDANA

Ridhiwan Kikwete akanusha..... '€œSio mimi niliesema CCM imeoza'€

2m ago

Mbunge wa Chalinze kupitia Chama cha Mpainduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete amekanusha ujumbe unaosambazw...

Kiongozi wa Palestina azuru Ubelgiji

2m ago

Kiongozi wa Mamlaka ya Palestina Mahmud Abbas amezuru jijini Brussels nchini Ubeljini kukutana na vio...

Maafisa wa Korea Kusini ziarani Korea Kaskazini

2m ago

Ujumbe wa Korea Kusini umekwenda Korea Kaskazini kuthathmini viwanja vitakavyotumiwa kufanya maandali...

TIRA, IIT Wazindua Mfumo Wa Kimtandao Wa Huduma Za Bima

  Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Bima Tanzania (IIT...

DC matatani kwa kupiga kampeni

6m ago

Kitendo cha Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu kupanda jukwaani kumnadi mgombea wa CCM katika Jim...

Mashahidi watatu watoa ushahidi katika kesi dhidi ya Sugu

6m ago

Sugu na Masonga wanashtakiwa kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli, wakida...

Dr Mollel : Nilifanya Jambo la Kitoto Nilipokuwa Chadema, Waliniambia Nitoke Bungeni Magufuli Akiingia

10m ago

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Siha kwa tiketi ya CHADEMA, Godwin Ole Mollel ambaye alihama chama hicho...

Alichokisema Kaseja baada ya Kagera kuchapwa goli 2-0 na Simba

12m ago

Kipa namba moja wa Kagera Sugar, Juma Kaseja amesema wamefanya makosa ambayo yamewagharimu dhidi ya S...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek