Ahukumiwa Miaka Mitatu Jela kwa Kumtusi na Kumtisha Mkuu wa Wilaya

By Mpekuzi Huru, 1w ago

Mahakama ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, imemhukumu mkazi wa mtaa wa barabara ya Mbutu, mjini hapa, Mohamed Ahmed (54) kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kutiwa hatiani kwa kumtishia na kumtolea lugha ya matusi Mkuu wa Wilaya ya Igunga, John Mwaipopo.Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Elimajidi Kweyamba, alidai mahakamani hapo kwamba mshitakiwa, alitenda kosa hilo Januari 09, mwaka huu, saa 1:05 usi...

ZINAZOENDANA

Waziri Mkuu aagiza Mkurugenzi Mtendaji wa MUWASA akamatwe

4h ago

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameamuru Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Mara...

MAJALIWA ATEMBELEA SHAMBA LA JKT RWAMKOMA WILAYANI BUTIAMA

7h ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua shamba la uzalishaji wa mbegu bora za mihogo aina ya mkombozi li...

WAZIRI MKUU ATEMBELEA SHAMBA LA JKT RWAMKOMA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua shamba la uzalishaji wa mbegu bora za mihogo aina ya mkombozi li...

WAZIRI MKUU AMKABIDHI MKURUGENZI WA MUWASA KWA TAKUKURU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameamuru Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ...

Waziri wa Maji aagiza kaimu mkurugenzi wa maji mijini kutumbuliwa

10h ago

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Profesa...

Waziri Mkuu: Watumishi Na Madiwani Shirikianeni

13h ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa Halmashauri na Mji wa Bunda pamoja na Madiwani was...

Waziri Mkuu ameamuru kukamatwa na kuhojiwa Kigogo wa MUWASA kwa tuhuma hizi

13h ago

Leo January 20, 2018 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiamuru Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushw...

Tukio la FastJet kugonga Lazua Sintofahamu Mwanza

14h ago

Hali ya sintofahamu imetanda baada ya mtu mmoja, ambaye jina lake halijajulikana, kugongwa na ndege y...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek