Kingunge Arejeshwa Tena Muhimbili na Kulazwa ICU

By Udaku Specially, 14w ago

Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombare Mwiru amerejeshwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ili kuendelea na matibabu.Kingunge aliruhusiwa kutoka hospitalini hapo Januri 10, 2018 ili kwenda kushiriki tukio la mazishi ya mkewe ,Peras Ngombare Mwiru yaliyofanyika jana katika makaburi ya Kinondonbi jijini Dar es Salaam.Pares alifariki dunia Januari 4, katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa ugonjwa wa kupooza huku Kingunge naye akilazwa hospitalini hapo akiuguza majeraha ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake, Victoria jijini humo hivi karibuni.Mtoto wa Kingunge, Kinje Ngom...

ZINAZOENDANA

Tundu Lissu Amvaa Spika Ndugai Baada ya Kudai Hakufuata Taratibu

1d ago

Mbunge Tundu Lissu amefunguka na kudai sheria ya uendeshaji wa Bunge halijaweka masharti yeyote ya ku...

Muhimbili yataja kinachowatesa wanaume wengi, Makonda aja na kampeni ya tezi dume

1d ago

Wakati mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiandaa mkakati wa kuwapima wanaume wanaoishi jij...

Wanaotaka kuuza figo waongezeka

2d ago

IDADI ya watu wanaotaka kuuza figo yao kwa ajili ya kupandikizwa kwa wagonjwa wenye matatizo ya kiung...

Sakata la Matibabu Lissu Amvaa Spika Ndugai "Bunge Linavunja Sheria Linaendeshwa kwa Chuki na Upendeleo wa Kisiasa"

Mbunge Tundu Lissu amefunguka na kudai sheria ya uendeshaji wa Bunge halijaweka masharti yeyote ya ku...

Tundu Lissu Amvaa Spika Ndugai Baada ya Kudai Hakufuata Taratibu

2d ago

Mbunge Tundu Lissu amefunguka na kudai sheria ya uendeshaji wa Bunge halijaweka masharti yeyote ya ku...

Mwili wa marehemu Agness Masogange ulivyowasili Muhimbili

3d ago

Mwili wa aliyekuwa Video Vixen Agnes Gerald (Masogange) ulishatolewa katika Hospitali ya Mama Ngoma n...

Wasanii na ndugu wafunguka namna ya kumzika Masogange (Video)

3d ago

Wasanii wa filamu na muziki wamejitokeza kwa wingi Muhimbili Mochwari kwaajili ya kuuhifadhi mwili wa...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek