Hawa Ndiyo Wafungwa 12 Wakiopata Msamaha wa Rais Jana.

By Udaku Specially, 14w ago

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Rais wa Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein, ametoa msamaha kwa wafungwa 12 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Rais Dkt Shein ametoa msahama kwa wafungwa hao ambao walikuwa wamehukumiwa kwa makosa mbalimbali.Msamaha huo umetolewa kwa mujibu wa ibara ya 59 ya Katiba ya Zanzibari ya mwaka 1984 ambayo imempa Rais mamlaka ya kutoa msamaha kwa wafungwa.Msamaha huo unatolewa kwa wafungwa kama nafasi ya wao kuanza kuishi maisha mapya na kuachana na vitendo vya kihalifu.Wafungwa waliopewa msamaha huo ni; Abdul-Aziz Abdal...

ZINAZOENDANA

TANZANIA NA ISRAEL KUANGALIA NAMNA YA KUSHIRIKIANA KATIKA MASUALA YA SHERIA

4m ago

Na  Mwandishi MaalumTanzania na Israel zimekubaliana kwamba ,  mataifa hayo mawili yana men...

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA JENGO LA PSPF PLAZA NA TAWI LA BENKI YA NMB MJINI DODOMA

12m ago

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa makofi na viongozi m...

Siasa za hofu na hofu za siasa

58m ago

Na Ahmed Rajab – Raia Mwema March 07, 2018 DEMOKRASIA ya Tanzania imo katika mtihani, ambao pen...

Tangazo la Ajira Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za mitaa na Idara Maalum SMZ

2h ago

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA, SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZTume...

Madaktari kutoka Misri wamuaga Waziri wa Afya baada ya kumaliza muda wao wa kazi nchini

2h ago

 WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Madaktari Bingwa kutoka Nchi za Kia...

Rais Magufuli Aitaka Bodi ya NMB kuangalia Upya Gawiwo Linalotolewa kwa Serikali

Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Bodi ya National Mi...

Video: Rais Magufuli awataka viongozi wastaafu wajifunze hili kutoka kwa Pinda

2h ago

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka baadhi ya viongozi kujif...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek