Rais Magufuli kumpokea Rais Kagame siku ya Jumapili Januari 14, 2018

By Dewji Blog, 10w ago

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli anatarajia kumpokea Rais Paul Kagame wa Rwanda anaetaraji kuwasili Nchini Jumapili ya Januari 14, 2018 majira ya asubuhi kwa ziara ya kikazi. Akizungumza kuhusu ujio huo Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amesema uwezo mkubwa wa Rais Magufuli, demokrasia imara na amani ni miongoni mwa mambo yanayowavutia wageni kuja Tanzania akiwepo Rais Kagame wa Rwanda. RC Makonda amesema baada ya kuwasili kwa Rais Kagame kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere ataelekea moja kwa moja Ikulu kwa ajili ya mazungumzo na mwenyeji wa...

ZINAZOENDANA

Hali ya Aveva si nzuri

13m ago

Rais wa Simba, Evans Aveva.HALI ya Rais wa Simba, Evans Aveva, si nzuri na anaendelea kutibiwa ka­...

Jide na ishu ya kuishi Nigeria

13m ago

MEI 20, mwaka jana ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, nilibahatika kuwa miongoni mwa waalikw...

Faida 6 riba ya mikopo ya benki ikishushwa

13m ago

MAPENDEKEZO yaliyotangazwa na Jumuiya ya Mabenki Tanzania ya kushusha riba za mikopo kutoka asilimia ...

Paul Makonda kuwasaidia wanawake waliotelekezwa na wanaume zao

25m ago

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amewatangazia wawanake wote waliotelekezwa na waume z...

Marekani yatangaza vikwazo vya kibiashara dhidi ya China

43m ago

Nchi ya China Ijumaa hii imeionya Marekani kuwa haiogopi vita vya kibiashara wakati huu ikitishia kut...

Mwalimu Mbaroni kwa Kumkashifu Rais Magufuli

JESHI la Polisi Mkoa wa Kagera linamshikilia mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Nyakisasa iliyopo Taraf...

Kampuni iliyotaka kuipiga Tanzania kwenye E Passport yavunjiwa mkataba na Serikali ya Uingereza

49m ago

Muonekanao wa E-Passport zilizotolewa mapema mwaka huu.Passport ya Uingereza ambayo kampuni ya De La ...

Masikini Aveva, Hali Yake Si Nzuri

HALI ya Rais wa Simba, Evans Aveva, si nzuri na anaendelea kutibiwa ka­tika Taasisi ya Moyo ya Jak...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek